Sports Extra ya Clouds Fm: Golikipa mpya wa Yanga amefungwa goli 50 kwa msimu mmoja

Uzuri wana Yanga hatuna tabia ya kulalamika kuwa wachambuzi wanapewa bahasha za kaki bali tunawacha wabwabwaje bwabwaje halafu tunawaumbua kwa vitendo. Kuna yule aliyesema Mayele ana la kujifunza kwa Kagere. Sijui uso wake anauweka wapi saivi. Lakini hizi chambuzi zingeilenga Simba ungeona humu wanavyotuhumu wachambuzi wa michongo kupewa bahasha na jies-em
 
Haiondowi ukweli kwamba bahasha za kaki ndiyo siri ya mafanikio ya utopolo kwa mwaka huu.
 
Huyu kipa kwa msimu huu hana deni na mashabiki wa Yanga. Ni bonge la kipa
 
Diarra ni kipa bora kwenye ligi yetu, tukubali kuna siku mbaya kazini tuu.
 
Back
Top Bottom