Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #81
Msimu huu hafungwi goli 50
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrejesho tafadhali. Msimu ndiyo unaelekea ukingoni.Bongo atatunguliwa 100 kwa msimu
Mosie umeifufua hiii😂😂😂😂Mrejesho tafadhali. Msimu ndiyo unaelekea ukingoni.
Haiondowi ukweli kwamba bahasha za kaki ndiyo siri ya mafanikio ya utopolo kwa mwaka huu.Uzuri wana Yanga hatuna tabia ya kulalamika kuwa wachambuzi wanapewa bahasha za kaki bali tunawacha wabwabwaje bwabwaje halafu tunawaumbua kwa vitendo. Kuna yule aliyesema Mayele ana la kujifunza kwa Kagere. Sijui uso wake anauweka wapi saivi. Lakini hizi chambuzi zingeilenga Simba ungeona humu wanavyotuhumu wachambuzi wa michongo kupewa bahasha na jies-em
Kabisa mkuu na leo tumedhihirisha hili kuwa Yanga bila bahasha hakuna timuHaiondowi ukweli kwamba bahasha za kaki ndiyo siri ya mafanikio ya utopolo kwa mwaka huu.
Nakubalina na wewe simba kapokea bahasha Leo kaachia kwel pesa sabuni ya rohoHaiondowi ukweli kwamba bahasha za kaki ndiyo siri ya mafanikio ya utopolo kwa mwaka huu.
Leo yanga kawap na nyie bahasha au?Haiondowi ukweli kwamba bahasha za kaki ndiyo siri ya mafanikio ya utopolo kwa mwaka huu.
Uzi umefufuliwaShati kweri kweri