Sports Extra ya Clouds Fm: Golikipa mpya wa Yanga amefungwa goli 50 kwa msimu mmoja

Hatimaye mabingwa wa analojia wainasa saini ya golikipa mzigo haji manara
 
Utopolo muda wao wa kutamba siku hizi ni kipindi cha usajili pekee. Ona sasa wanasajili hadi takataka.

Acha watambeee
 
Sheikh uko wapi? Kuna nyanda mpya kwa Wananchi
Kila mchezaji ukifuatilia unaona anaenda Yanga, kiasi kwamba hata haijulikani yupi ni kweli na yupi sio kweli...maana wanaojulikana rasmi hadi sasa ni wale wacongoman wawili ambao wametambulishwa
 
Ina maana jamaa kila ikipigwa imoooooo , Basi huku yatafika 100.
 
Allison alinunuliwa na liver huku liver wakiwa wametoka kumpiga goli saba
 
Sisi ni congoman FC maana wakongo wapo kama 5 hivi
 
No kipa wa netboli?
 
Stade Malien imefungwa mabao 16 tu tangu March 2020.
 
Halafu kawaje mchezaji bora wa ligi kama tunavyoambiwa.
 
Dahhhh tuanze kulalamika tunahujumiwa sasa hivi au tusubiri msimu uanze
 
Kukosa weledi ndiyo maana Hajji alikuwa anawatukana tu, maana ni mjinga pekee anaweza kuongea jambo bila data, " Takataka " ziko nyingi nchini
 
Nchi ina vijana wa hovyo sana hii, na wewe ukiwemo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…