Sports Extra ya Clouds Fm: Golikipa mpya wa Yanga amefungwa goli 50 kwa msimu mmoja

Ama kweli muda ni Mchache na Mambo ni mengi.

Eti Taifa lililo endelea kisoka na lenye mafanikio makubwa kwenye mpira wa Afrika wameamua kumchagua kipa aliyepigwa goli 50 kuwa nationa team goalkeeper.

Kitu kizito chenye mithili ya chuma kimewadondokea watu wa simba kichwani hadi wanaanza kuchanganyikiwa sasa kuhusu sajili za Yanga SC.

Asanteni kwa Kujadiri.
 
Unadhani kwa nini Rage aliwaita mbumbumbu!! Hamna kitu hapo!!
 
Manula alipopigwa goli 10 mechi mbili tu,clouds fm walisemaje vile?.
 
Sport extra hakuna wachambuzi Bali wachafuzi
Niliacha muda mrefu sana kusikiliza hicho kipindi ni wahuni Fulani ivi was mjini washibishe matumbo yao.

Nimemsikia Lwambano eti yanga wanasajiri kibiashara,huo no uchambuzi kweli?

Wachezaji wengi wametoka As vita club, na ndiyo hao waliomnywesha simba5. Kina mchezaji wa kumtilia shaka pale?

Kipindi cha kwanza yanga walidominate game, timu haifanya preesezone kiwango kile ni uwezo wa mchezaji mmoja mmoja.
MLITAKA IWEJE?
MBONA HAMUUNDI TIMU YETU TUONE UWEZO WENU WA KUSAJIRI.
SASA NINAMJEKEWA MANARA JUU YA WACHAMBUZI

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Mbona nasikia huyo kipa anadaka mpaka mishale 🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Alaaa walivyipigwa 4 mkasema ile yq kina makusu ndiyo vita halisi leo wamekuwa wakali tena,hawakwendaga robo na simba alienda mara mbili mbele yao
 
Kwa yule kipa Yanga wamepigwa kama walivyopigwa Kwa kina Fiston. Engineer Hersi mjanja sana yule jamaa.
 
Huyo kipa sasa au watu huwa wanaanika nguo golini!!

[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…