Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa niko Charambe, lakini nimetembea dunia ya wapelelezi na sheria, nimeona watoto wanaua baba zao.na hao watoto wasijue muandiko wa baba yao na kuacha azikwe?
Halafu wewe mchunguzi uchwarwa wa charambe
Asante sanaDuh! Pole sana Mkuu
Ya dunia tu haya na yalishapita na maisha yanaendeleaDuh pole sana ilikuwaje?
Asante sanaPole sana ndugu
Katika magumu niliyopitia haya matukio yalinizidi sanaPole sana ndugu,ulipitishwa pagumu!
Hatari leo tunaijua kesho ni gizaPole sana Mkuu,Dunia ni fumbo zito sana,sema wengi huwa hatufikirii hilo!!
Alikuwa mkufunzi wako kwenye ile intake yenu??Afande alikuwa pisi sana.
Alale pahali pema
Asante sanaPoleh sana Kaka
Sijajiita mkomavu kwa bahati mbaya hata kazini wananiita hivyo kwa ajili ya mapito niliyopitiaDah..nimeshindwa kbs kuvaa viatu vyako...kweli ww mkomavu! Hongera ..sio pole tena
Safi sana...Mungu akufunulie kila hitaji lakoSijajiita mkomavu kwa bahati mbaya hata kazini wananiita hivyo kwa ajili ya mapito niliyopitia
Hahahaha natumai simoPale unaposikia mtu anaekudai kafa ukashangilia kumbe kaacha maelezo na no za simu.
Watu wote ninaowadai msifurahi nikifa majina yenu na no zenu na mnapoishi nakala zipo kwa mama yangu.in case mungu akaniita.[emoji23][emoji23][emoji23]
AmenSafi sana...Mungu akufunulie kila hitaji lako
Kabisa.. ..wala tusimlaumu...Hatari leo tunaijua kesho ni giza
Hata kujiua ni ujasiri kama huamini jaribuKumbukeni marehemu alikua soldier so alikua jasiri
Kanuni moja ,,, kwanza kajiua makaburini,,, pili mazingira gani na mlalo upi marehemu alio kutwa nao,,,,,,, kiambatanisho kipi alichokutwa nacho marehemu,,, je Kuna movement gani kutoka katka mwili wa marehemu na makaburi mengne ,,,, Aina gani kitu au sumu alio tumia katika Nia yake ya kujiua ,,,,,,,,, hapo ndio upelelez huanzia na kukusanya evidence zote kuanzia nguo,viatu,zile,dawa ,kama alikutwa nazo,na Yale maandishi yake Kisha watu wa "FORENSIC" huanza kufanya Kaz yao "kwa mtu Alie soma MICROBIOLOGY AND FORENSIC SCIENCE" anaelewa Hilo kutoka na mifumo ya mibovu ya data tangu tunazaliwa ,tunakua fingerprint nying haziko katika mifumo tofautisha na nch zilizo endelea.Sawa niko Charambe, lakini nimetembea dunia ya wapelelezi na sheria, nimeona watoto wanaua baba zao.
Wewe huna hiyo experience, huna hiyo exposure, huna huo upeo masikini ya Mungu....
Ukitaka kuua mtu Tanzania rahisi sana, andika ki fake suicide note watu watazika watayamaliza. Na ukishazika Waafrika hatuchimbui makaburi kwa sababu hata ukichimbua huwezi kumfufua marehemu. Na polisi wetu mentality ni hizo hizo. Ndio tulivyolelewa akili zetu masikini ya Mungu.
Nchi za nje kuna watu wanaitwa FORENSIC DOCUMENT EXAMINERS wanaletwa mahakamani kuthibitisha mwandiko, sio watoto wa marehemu. Wameshaona mengi sana ya dunia. Huyajui hayo masikini weeeee...
Nchi nzima tunakubaliana na jitu moja stranger la mtandaoni, Mshana Jr., limetuambia mzee kajiua makaburini, how the hell do you know kajiua makaburini ????
Mimi hata kwenye usugu nimepita.. sijui niko stage gani nw[emoji1787][emoji1787]