Legrema2050
JF-Expert Member
- Jun 5, 2021
- 606
- 708
OkSex inamuunganiko wa kiroho legacy ya mkewe imemualika kuzimu
R I P
kwa wadaiwa kama nimeona jina lako!
Kumbe ni mbavu tu, hana nyota
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkSex inamuunganiko wa kiroho legacy ya mkewe imemualika kuzimu
R I P
kwa wadaiwa kama nimeona jina lako!
Kumbe ni mbavu tu, hana nyota
Hiyo situation ilitaka kunitokea mwaka fulani ndani ya huo mwaka nilifiwa na mama mzazi, first born pia na mke the same year ona sasa dunia ilivyonielemea kwa majanga ujasiri uliniishaKabisa Mkuu ndiyo sababu vifo vya Mzazi, Mke/Mume na mtoto huitwa misiba mikubwa kwani wahusika 9/10 times huumia zaidi wanapofikwa na misiba ya hawa watu.
Hiyo situation ilitaka kunitokea mwaka fulani ndani ya huo mwaka nilifiwa na mama mzazi, first born pia na mke the same year ona sasa dunia ilivyonielemea kwa majanga ujasiri uliniisha
Duh pole sana ilikuwaje?Hiyo situation ilitaka kunitokea mwaka fulani ndani ya huo mwaka nilifiwa na mama mzazi, first born pia na mke the same year ona sasa dunia ilivyonielemea kwa majanga ujasiri uliniisha
Hii inaanzia kwenye kuoa soul mate wako. Kama unaoa kwasababu umri umekwenda au kwasababu ya mshinikizo wa familia ni bahati sana kupata ndoa yenye amani.Mara nyingi, kama baba na mama wakipendana kwa dhati, maendeleo yao kimaisha huwa ni mazuri.
Ila kama hakuna upendo wa dhati, maendeleo ya familia huchelewa sana.
Ukiwa na mwenza sahihi na mwenye akili hayo mambo ni yakawaida sanaNa mimi mwenyewe nimefikiria hivyo,askari tena cheo cha Sargent unapata wapi kirahisi mali zote hizo bila dhuluma?
Pole sana nduguHiyo situation ilitaka kunitokea mwaka fulani ndani ya huo mwaka nilifiwa na mama mzazi, first born pia na mke the same year ona sasa dunia ilivyonielemea kwa majanga ujasiri uliniisha
Ila siyo wote, Wanawake wengine ndiyo wanakuwa ma jinamizi wakubwa kwa Wanaume!![emoji3059][emoji3059][emoji3059] hakika mkuu....! Bila sisi nyie mnavurunda sana
Pole sana ndugu,ulipitishwa pagumu!Hiyo situation ilitaka kunitokea mwaka fulani ndani ya huo mwaka nilifiwa na mama mzazi, first born pia na mke the same year ona sasa dunia ilivyonielemea kwa majanga ujasiri uliniisha
Mtu ana Nyumba tano,gari 4 huyu anakuwaje Marioo!?Afande huenda alikuwa maryo! Hivihivi haiingii akilini kwa mtu wa umri wake kujipiga risasi as simple as that. Angekuwa kijana mdogo sawa, mzee tena mwenye wajukuu?! No.
Pole sana Mkuu,Dunia ni fumbo zito sana,sema wengi huwa hatufikirii hilo!!Hiyo situation ilitaka kunitokea mwaka fulani ndani ya huo mwaka nilifiwa na mama mzazi, first born pia na mke the same year ona sasa dunia ilivyonielemea kwa majanga ujasiri uliniisha
Nakusoma kwa makini soulmate wanguHii inaanzia kwenye kuoa soul mate wako. Kama unaoa kwasababu umri umekwenda au kwasababu ya mshinikizo wa familia ni bahati sana kupata ndoa yenye amani.
Pale mama anapolipa kodi ya nyumba ya Benten na nyumbani anakusubiri ununue mpaka kitunguu. Mnajikuta mnastaafu katika nyumba ya shirika au ya kupanga.
Poleh sana KakaHiyo situation ilitaka kunitokea mwaka fulani ndani ya huo mwaka nilifiwa na mama mzazi, first born pia na mke the same year ona sasa dunia ilivyonielemea kwa majanga ujasiri uliniisha
Huwa dhuluma ni karmaIla hakufanya vzr. Yawezekana kuna roho waliyotupiwa au udhulumaji,
Anyways