muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Sad,faraja ya watoto na wajukuuu haikutosha?...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ameznguaJamaa amezingua
Hii ni kweli, msongo wa mawazo ni tatizo kubwa Tanzania basi tu.That’s a bit much. Judgmental!
Suala la mental health Tanzania bado lina stigma mbaya.
Huwezi kujua mazonge aliyokuwa nayo. Angepata msaada wa therapy huenda mambo yangekuwa tofauti.
Lakini huo msaada angeupatia wapi hapa Tanzania? Jamii iliyojaa watu judgmental namna hii…
Apumzike kwa Amani.
[emoji16]Mwanadamu hajaacha kushangaza, utakuta alipokuwa hai hakuwa hata anamuonesha mwenzie gesture za upendo; huruma, upendo, kujali, heshima, kujitoa hapa na pale halafu leo anadhani kujiua ndio gesture pekee ya upendo!! Shetani muongo sana na kama hujui maana ya upendo utakubaliana naye.
Mi nahisi kwa kuwa wanaume wanaamini wao ndo wanatangulia kufa wanawaacha wake zao huwa wako relaxed...sasa inapotokea mke kafa kamuacha yeye, huwa mwanaume hawezi kustahimili, ndo kama kujiuaMara nyingi inakuaga, mke akitangulia mume hachukui round hubaki wakiteseka....
Apumzike kwa amani kamanda, pole kwa familia.
Tulia mataga huwezi kuelewa mambo magumu hayaMafunzo sahihi kuhusu nini??
Ahaaaahaaaa[emoji1787][emoji16]Staff Sargent una gari 4 unajiua??? pambaaaaffff
Kiruuuu[emoji134]Sababu ya huyu Mgambo kujiua ni Majuto. Namuita mgambo sababu mwanajeshi kamili hawezi kujiua kizembe namna hii. Kiufupi jamaa alikuwa mbali na mke wake kimahusiano. Kifo cha mke wake asilimia kubwa kimesababishwa na tabia na matendo yake yasiyokuwa mazuri. So alijiona kakosea na hakuna tena nafasi ya kumuomba msamaha mkewe. To me haya ni maamuzi yenye ubinafsi. Nafikiri kifo cha mkewe kingekuwa turning point ya yeye kuwa mtu bora zaidi kwa familia na jamii kwa ujumla kuliko kujiua. Hili tukio limetokea mtaani kwangu so hiki nilichoandika siyo story ya kutunga.
Kama mshua wangu kuna siku nikamwambia nina stress kazi yake fulani sitaweza kufanya vizuri nitavurunda siko sawa.....nilipewa makavu nikaambiwa stress ni kujilegeleza na kudeka deka, nipige kazi [emoji16][emoji16]hii kitu Bongo hakuna anayeelewa kabisa
Hivi na wao huwa wana hilo wazo la kutangulia? Naonaga kama wanawake ndio twawaza hiviMi nahisi kwa kuwa wanaume wanaamini wao ndo wanatangulia kufa wanawaacha wake zao huwa wako relaxed...sasa inapotokea mke kafa kamuacha yeye, huwa mwanaume hawezi kustahimili, ndo kama kujiua
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Si wanaona kwenye familia zaa wenzao kwamba hii ishu iko circle [emoji778]...Hivi na wao huwa wana hilo wazo la kutangulia? Naonaga kama wanawake ndio twawaza hivi
Ndio democracy yenyewe hiyo au vipiYaani huku unapambana angalau uione kesho,mwingine huku anajitoa roho...