TANZIA SSGT Reginald Ruta wa JWTZ amejiua kwenye Kaburi la marehemu Mkewe

Kabisa Mkuu ndiyo sababu vifo vya Mzazi, Mke/Mume na mtoto huitwa misiba mikubwa kwani wahusika 9/10 times huumia zaidi wanapofikwa na misiba ya hawa watu.
Hiyo situation ilitaka kunitokea mwaka fulani ndani ya huo mwaka nilifiwa na mama mzazi, first born pia na mke the same year ona sasa dunia ilivyonielemea kwa majanga ujasiri uliniisha
 
Duh! Pole sana Mkuu

Duh pole sana ilikuwaje?
 
Mara nyingi, kama baba na mama wakipendana kwa dhati, maendeleo yao kimaisha huwa ni mazuri.

Ila kama hakuna upendo wa dhati, maendeleo ya familia huchelewa sana.
Hii inaanzia kwenye kuoa soul mate wako. Kama unaoa kwasababu umri umekwenda au kwasababu ya mshinikizo wa familia ni bahati sana kupata ndoa yenye amani.

Pale mama anapolipa kodi ya nyumba ya Benten na nyumbani anakusubiri ununue mpaka kitunguu. Mnajikuta mnastaafu katika nyumba ya shirika au ya kupanga.
 
Hiyo situation ilitaka kunitokea mwaka fulani ndani ya huo mwaka nilifiwa na mama mzazi, first born pia na mke the same year ona sasa dunia ilivyonielemea kwa majanga ujasiri uliniisha
Pole sana ndugu
 
Pole sana ndugu,ulipitishwa pagumu!
 
Afande huenda alikuwa maryo! Hivihivi haiingii akilini kwa mtu wa umri wake kujipiga risasi as simple as that. Angekuwa kijana mdogo sawa, mzee tena mwenye wajukuu?! No.
Mtu ana Nyumba tano,gari 4 huyu anakuwaje Marioo!?
 
Hiyo situation ilitaka kunitokea mwaka fulani ndani ya huo mwaka nilifiwa na mama mzazi, first born pia na mke the same year ona sasa dunia ilivyonielemea kwa majanga ujasiri uliniisha
Pole sana Mkuu,Dunia ni fumbo zito sana,sema wengi huwa hatufikirii hilo!!
 
Hii inaanzia kwenye kuoa soul mate wako. Kama unaoa kwasababu umri umekwenda au kwasababu ya mshinikizo wa familia ni bahati sana kupata ndoa yenye amani.

Pale mama anapolipa kodi ya nyumba ya Benten na nyumbani anakusubiri ununue mpaka kitunguu. Mnajikuta mnastaafu katika nyumba ya shirika au ya kupanga.
Nakusoma kwa makini soulmate wangu
 
Back
Top Bottom