Sawa niko Charambe, lakini nimetembea dunia ya wapelelezi na sheria, nimeona watoto wanaua baba zao.
Wewe huna hiyo experience, huna hiyo exposure, huna huo upeo masikini ya Mungu....
Ukitaka kuua mtu Tanzania rahisi sana, andika ki fake suicide note watu watazika watayamaliza. Na ukishazika Waafrika hatuchimbui makaburi kwa sababu hata ukichimbua huwezi kumfufua marehemu. Na polisi wetu mentality ni hizo hizo. Ndio tulivyolelewa akili zetu masikini ya Mungu.
Nchi za nje kuna watu wanaitwa FORENSIC DOCUMENT EXAMINERS wanaletwa mahakamani kuthibitisha mwandiko, sio watoto wa marehemu. Wameshaona mengi sana ya dunia. Huyajui hayo masikini weeeee...
Nchi nzima tunakubaliana na jitu moja stranger la mtandaoni, Mshana Jr., limetuambia mzee kajiua makaburini, how the hell do you know kajiua makaburini ????
Kanuni moja ,,, kwanza kajiua makaburini,,, pili mazingira gani na mlalo upi marehemu alio kutwa nao,,,,,,, kiambatanisho kipi alichokutwa nacho marehemu,,, je Kuna movement gani kutoka katka mwili wa marehemu na makaburi mengne ,,,, Aina gani kitu au sumu alio tumia katika Nia yake ya kujiua ,,,,,,,,, hapo ndio upelelez huanzia na kukusanya evidence zote kuanzia nguo,viatu,zile,dawa ,kama alikutwa nazo,na Yale maandishi yake Kisha watu wa "FORENSIC" huanza kufanya Kaz yao "kwa mtu Alie soma MICROBIOLOGY AND FORENSIC SCIENCE" anaelewa Hilo kutoka na mifumo ya mibovu ya data tangu tunazaliwa ,tunakua fingerprint nying haziko katika mifumo tofautisha na nch zilizo endelea.
Usimlaumu mshana yeye kaileta habar Kama alivyoipokea