Ni huyo tu mahaba yalimzidia. Kuna watu wapo hai kwa sababu pembeni yao kuna mtu anaefanya waone thamani ya maisha duniani inapotokea yule mtu akatoweka nao wanapoteza matumaini na hawaioni tena thamani ya uhai wala ya watu wanao wazunguka.Watani zangu ' Wahaya ' mmeniaibisha.
Pamoja na yote niseme wazi tu kuwa mlikuwa mnabishana au mnajadili kitu cha kijinga sana tena sana...samahani kama nimekuvunjia heshima.Nakumbuka tukiwa chuo tulikuwa tunabishana sana kati ya mtoto,mke/mume na mama yupi akifa unapata maumivu sana,,kuna lecturer ni mtu mzima sana alisema mke akifa anauma mno tena haswa mkipendana, akajitolea yeye mfano tangu mke wake afariki ni miaka 10 sasa nyumba aliiona kubwa sana ikabidi auze nyumba,akaenda kujenga sehemu nyingine anasema alipitia kipindi kigumu mno maishani mwake.
Kwa yaliyomtokea huyo askari nimemkumbuka lecturer
Jamaa kazingua kinoma sanaWatani zangu ' Wahaya ' mmeniaibisha.
ameona akakutane nao liveHayo ndio mapenzi ya Romeo & Juliet
Si kupenda uko jamaniJamani kumbe kuna wanaume wanajua kupenda namna hii?dah..bora aungane na mkewe tu
Bali? Mzee mwenzangu unajua kuna wanaume hawawez kusimama bila wake zao? Hata kama ana kipato!Si kupenda uko jamani
Hicho ndio kimemkuta marehemu. Wengi wanaomcheka watakua hawajapa wake yaani hawajaoa na kupata wasaidizi sahihi wanaokamilisha maisha yao, au wana wanawake wengi wasio wake sahihi piaBali? Mzee mwenzangu unajua kuna wanaume hawawez kusimama bila wake zao? Hata kama ana kipato!
Huwa mtu akijiua baadhi ya dini ikiwemo RC wanatoa hukumu kabisa, kwamba yeye ni wa motoni, hivyo hawamfanyii ibada/misa
Hahahaa hii kali jamani...ila kwann wajane wengi wakifiwa wananawiri balaa wachache sana wanapauka ...! Inatoa picha ganiNaanza kuamin ule usemi ukiona ndoa yako imetulia na Haina migogoro ujue umeanza kuwaelewa wanawake tabia zao na hapo kifo chako hakipo mbali sana
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mie naiona kwa mwenzangu .hawezi jisimamia kbs! Nisipokuwepo anakua ana hofu na anakueleza ..!lolHicho ndio kimemkuta marehemu. Wengi wanaomcheka watakua hawajapa wake yaani hawajaoa na kupata wasaidizi sahihi wanaokamilisha maisha yao, au wana wanawake wengi wasio wake sahihi pia
sanaa, hata kanisani wanasema hadi kifo kitakapotutenganisha.Jamaa amezingua
Aliikosaje?Kipo alichokikosa kwa mkewe huku akiamini hawezi kuishi bila yeye, na mbaya zaidi akakosa hata faraja ya walimwengu
Beee ndiyo umeamua kutusema wajukuu wa Mkwawa indirectAngekuwa wa mkoa fulani isingekuwa mada...RIP mjeda
Lilo jepesi kwako, kwa wengine ni zito na huenda kuna mazito kwa wengine na kwako yakawa mepesi.Nakubaliana na wewe hasa kama hajajiua (i.e.ameuwawa). Kama amejiua kwa ridhaa yake na kwa sababu iliyotajwa, bila ya shaka ni mjinga.
Huwezi kuacha watoto wako yatima kwa sababu nyepesi za hivyo.