TANZIA SSGT Reginald Ruta wa JWTZ amejiua kwenye Kaburi la marehemu Mkewe

Hakupaswa kujiua .....duh.....halafu ni mjeshi....kweli amekosa ushupavu kwa kuangalia familia inamtegemea....anyway RIP....njia sote....
 
Ndio ujue jins gan wanaume tulivyo na upendo
Japo na upendo upo ila mi nadhani ni tofauti....ni ile hali ya kupata treatment Kama mtoto, upikiwe, ufuliwe yani upo kama mtoto kuna mtu anakua anakutimizia mahitaji yako (mke) akiondoka sasa unabaki kama yatima...

Na upande wa ke, ambavyo tunakua tegemezi kwa wenzi, mme ndio provider akitangulia basi nyumba itatetereka kiuchumi. Ila mume ndio huwa anatia huruma zaidi.
 
Staff Sargent una gari 4 unajiua??? pambaaaaffff kwanza wewe ni Tajiri Mkubwa hata watu wengine huku Uraiani hawana mali hizo na wakiwa nazo Serikalini kulivyo na Chuki na Majungu wanaitiwa Takukuru..Wewe Hakuna wa kukuitia Takukuru mana Timbwili lake sio dogo...Unajiua kijinga...Go straight Mungu Wako akuhukumu....
 
[emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji2815][emoji2][emoji2]hebu onesha
Kumbe nimeangalia vibaya upo ukurasa mwingine wanaodai sasa na wewe unadaiwa kila kona nikiuonyesha tu watakusumbua
 
Naamini angekuwa Kikosi cha Makomando asingeweza kufanya hivyo, hapo kamanda kafungisha lakini. RIP
 
Msono wa mawazo, haya mambo acheni kabisa, acheni nasea acheni, sikia kifo tu kw mme au mke wa mwenzio, kisikukute:
Mungu ahpendi mtu kujitoa uhai, ila acheni jamani
 
Hiyo ya latekosta sio misa ni ibada fupi..kwa kifupi huyo halufanyiwa misa yoyote na kama mke nae ibada ya mzishi yake iliongozwa na katekista bas familia walikiwa hawashiriki ibada za kanisa....mawazo yangu
 
Sababu ya huyu Mgambo kujiua ni Majuto. Namuita mgambo sababu mwanajeshi kamili hawezi kujiua kizembe namna hii. Kiufupi jamaa alikuwa mbali na mke wake kimahusiano. Kifo cha mke wake asilimia kubwa kimesababishwa na tabia na matendo yake yasiyokuwa mazuri. So alijiona kakosea na hakuna tena nafasi ya kumuomba msamaha mkewe. To me haya ni maamuzi yenye ubinafsi. Nafikiri kifo cha mkewe kingekuwa turning point ya yeye kuwa mtu bora zaidi kwa familia na jamii kwa ujumla kuliko kujiua. Hili tukio limetokea mtaani kwangu so hiki nilichoandika siyo story ya kutunga.
 
Ni mwanadamu pia ana moyo anaweza kustahimili kuwa mateka lakini sio kuwa na sonona
 
Reactions: BAK
Poleno majiran..kuna mdai hapo juu amesema kitu hiki kuwa yawezekana huyu jamaa wakat wa uhao hakuwah muonyesha mkewe ishara yoyote kuwa anampenda....lakn kafa inataka ionekane kuwa alikuwa anampenda sana mke ...nafsi yake imelia had ikakoma..akajimaliza..huyu ni kichwa maji..
 
kuna shida mahala, wachunguzi wetu waliobobea waingie kazini hapa...kuanzia kifo cha mke then warudi kwenye kifo cha Mzee. Vifo hivi vinaonekana vina kisa kimoja kinachofanana....
Ndiyo hivyo mamlaka husika zipo mzigoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…