TANZIA SSGT Reginald Ruta wa JWTZ amejiua kwenye Kaburi la marehemu Mkewe

Madeni yake kamwachia nani?
Halafu kwanini hajaipeleka hiyo gari NISAN kwa mwenyewe? Amewaachia watoto matatizo makubwa Ila kuna lililojIficha nyuma ya kujiua.Ila wakati utaamua
 
daaah aisee, kuna mengi hapo aroo
 
Kwa kibongo bongo Msoja alikuwa tajiri ,ana mali nyingi tu ,kama magari manne ,nyumba 5 ,viwanja ,anaowadai pesa nyingi wa kutosha,accounts zenye pesa banks za kutosha!! Itakuwa pepo la kifo lilimdaka!
Za halali kweli mali zote hizo? Sr NCO kuwa na ukwasi wote huo.... Mshahara wake tunaujua. Muda wa utumishi tunaujua. Hatuna la kufanya maana hayupo tena.
 
Kwa nini hiyo sumu kanywa mwenyewe, kwani hawepi kupewa sumu halafu akaja kubwagwa hapo ?

Lakini bora wewe angalau umefikiria kidogo nje ya boxi, wengine wote wamemeza alichosema Mshana Junior kama kilivyo.
Vp kuhusu hiyo diary ya Mali alizowaachia watoto nayo kuna mtu aliandika ndio kamuua huyo mtu alikopi muandiko wa baba na hao watoto wasijue muandiko wa baba yao na kuacha azikwe?

Halafu wewe mchunguzi uchwarwa wa charambe unakuja kutilia shaka kifo ambacho hata hakikuhusu

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo ikishafahamika wakupigie simu wakueleze ww ni nani?

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Mwanajeshi ni binaadam na anakwazwa pia...

Hilo halina mwanamme...mda ulifika hiyo ni sababu tu!
 
Najiulizaga sn inakuaje mtu mzima ana mke na familia lakini anakosa emotional intelligence?
 
Za halali kweli mali zote hizo? Sr NCO kuwa na ukwasi wote huo.... Mshahara wake tunaujua. Muda wa utumishi tunaujua. Hatuna la kufanya maana hayupo tena.

Wanajeshi wana chance kubwa ya kupata mkopo mkubwa hadi 200m kama mjasiliamali mzuri anaweza kupata ukwasi.
 
Kama ni kweli, huyo ni mjinga hasa. Not fair kabisa kwa watoto wake hasa wadogo.
That’s a bit much. Judgmental!

Suala la mental health Tanzania bado lina stigma mbaya.

Huwezi kujua mazonge aliyokuwa nayo. Angepata msaada wa therapy huenda mambo yangekuwa tofauti.

Lakini huo msaada angeupatia wapi hapa Tanzania? Jamii iliyojaa watu judgmental namna hii…

Apumzike kwa Amani.
 
Hii kitu Bongo hakuna anayeelewa kabisa
 
Kuna Movie moja inaitwa The Note book, jamaa alimpenda sana mkewe ambaye alikuwa na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu.

jamaa alihamia kabisa hosptl alipolazwa mkewe, siku mkewe anakufa naye alikufa sio kwa kujiua yeye ila.

watoto.walijarib kumsihi sana baba yao akubaliane vile mama anaumwa, amwache mkewe hosptl arudi kuishi kawaida. Yule mzee aliwajibu, huyu yaani mkewe, ndiyo nyimbani kwake..

wapo watu wanapenda kikwelii yaani, sio masihara
 
Kajiuaje juu ya kaburi!? Labda pawe na mti wamkute ananing'inia, na sio.
 
Ni mbinafsi wa kutupwa.
Unaweza kukuta mtu kawaua jamani, the perfect murders. Tatizo polisi wetu huwa hawachunguzi, wakikuta ujumbe wanakimbilia kusema amejiua, kesi imeisha.

Suppose mtu kaua ka kachora plan ya namna hii je?

Wenzetu wangeangalia kwa mfano, nani anafaidika na vifo hivi. Uhusiano kati yao ulikuwaje, je kweli ulikuwa wa kupendana hadi mmoja kujiua? Nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…