Staff members wa JF waliopo online

Mnaangalia picha zangu PM?

Kuna picha fulani nilipewa PM,

Niliifungua mara moja tu, tokea hapa ikawa inagoma.

Na mpaka sasa inasoma 8 views.

Mnavunja faragha sio?
Pole sana Mkuu

Huenda ilikuwa picha ya PisiKali ambayo huenda mod nao walikuwa wakiimendea 😜

Ila nakumbuka baada ya malalamiko mengi ya Wadau kuhusu hili swala, mods waliacha kusoma PM za watu
 
Id zao zitaendelea kuwepo kila siku, ikitokea ameacha kazi au amekufa atakayekuja atapewa hio id
Usikute tokea jf ianzishwe kwenye id ya active wameshapita wafanyakazi hata 10.
Umesema sahihi kabisa

Unaweza kukuta ile id ya mod Active imetumiwa na wafanyakazi zaidi ya 7 hadi sasa ama zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…