Ila na wwe unaonekana ni kicheche sana hauna sifa za kua wife material!Tukana uchoke humu unapaona kama USA hivi poa.
Ila maisha si humu.
Maisha si umario maisha ni yale halisi uliyonayo
Ndio maana mi ni second wife kwani wewe unayo sifa za kuwa husband material au wewe ni materialistic?Ila na wwe unaonekana ni kicheche sana hauna sifa za kua wife material!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukana uchoke humu unapaona kama USA hivi poa.
Ila maisha si humu.
Maisha si umario maisha ni yale halisi uliyonayo
Kumbe wwe mwizi unamuibia hadi mwanamke mwenzio Mume wake alafu unajipa cheo cha second wife aangalia sana hii Dunia malipo hapahapa!!Ndio maana mi ni second wife kwani wewe unayo sifa za kuwa husband material au wewe ni materialistic?
Mkuu niamini mimi hata issue ya Ndege kudondoka Anga la Irani tulikaa na masela kijiweni nikawaambia ile ndege imetunguliwa wote walinibishia wakasema hapana ni ajali ya kawaida nadhani mpaka sasa nikifika kijiweni hawazungumzii tena kama hawajui Iran/USA wamesema nini.Wabongo kwa Kujifanya Wachambuzi na Wenye Maono ya mbali hamjambo
Wwe si umesema wwe ni second wife alafu bado pia unataka na michepuko ebu tuache Ukwimu upo kweli wengine tunapenda afya zetu ndiyo maana tumebaki njia kuu hatuchepuki hata kama una shepu kama Beyonce wa JZ!!Weweeee nijibu swali wewe ni materialistic husband?? Au mario
Nani kakuambia na muhitaji mtu tayari mimi ni mke wa mtu.Wwe si umesema wwe ni second wife alafu bado pia unataka na michepuko ebu tuache Ukwimu upo kweli wengine tunapenda afya zetu ndiyo maana tumebaki njia kuu hatuchepuki hata kama una shepu kama Beyonce wa JZ!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mtoto Wa KIKE nisamehe..mtoto wa kiume unapenda umbeaaa, kuwa makini