Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!


maccm utajuwa tu!!
 
Namkumbuka waziri wa mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa wa wakati huo Hasan Diria. Naikumbuka kamppuni ya Dar Tadine Tz Ltd. Kenya Robert Ouko Nigeria Kenny Salowiwa.Hizo ni baadhi tu ya adha za watawala wasiopenda kukosolewa!
Vijana msipoitoa ccm madarakani mwaka huu nitawadharau maisha yangu yote.
 

Muulizeni Mzee Mwinyi (Ruksa) yeye anaufahamu ukweli kuhusiana na hili maana ndiye aliyeidhinisha Loliondo kuuzwa akiwa Rais wa nchi hii. Na Katabalo aliuwawa baada ya kufuatilia kwa undani na kuripoti suala hili ambalo lilikuwa linagusa maslahi binafsi ya viongozi hao kupitia gazeti la Mfanyakazi wakati huo.
 
Huwezi kumfananisha huyu jamaa na saed kubenea,,, kubenea ni msaka tonge aliyebobea,, jana lowassa mwizi na ushahidi huu hapa,, kesho tena lowassa sio mwizi na ushahidi huu hapa,, sasa unataka kumuita huyu kamanda au mwandishi wa habari za kiuchunguzi?? kama hana hata uhakika na hizo habari zake za kiuchunguzi na kujibishia mwenyewe!!!
 

Ni kawaida ya binadamu maiti huwa ni bora kuliko anayeishi,kubenea akifa ndio mtamsifia angekuwa msaka tonge wasinge tafuta kumuua.
 
Kumfananisha Kubenea na Katabalo ni kumtukana Stan matusi ya nguoni.Kubenea kaanza lini kuandika habari investigative?Vile Vipeperushi vya jamaa havifai hata kutandazwa kwenye banda la kware.Niliwahi soma matoleo mawili ya MwanaHALISI miaka hiyo lakini kila toleo lina habari ya KUMRADHI.........KWA UPOTOSHAJI.(i think alikuwa Sophia Simba and sumn else).Huyo jamaa hana tofauti na vijana wa Shigongo sema yeye kajikita kwenye udaku wa kisiasa.Hajui hata anachokisimamia ni kipi.
 

asante mkuu kwa ufafanuzi mzuri,kuna comment kafananishwa et na kubenea,vp kuna uwiano kweli au ni kumpunguzia credt,kweli yeye amewahi kukana maandish yake kama hawa wa sasa?
 
NAMKUMBUKA Stan Katabalo makala zake za mwisho zilihusu kuuziwa Makaburu wa Afrika Kusini Hisa za Tanzania Breweries Ltd (TBL) wakati akiendelea na makala hizi alianza kuchanganyikiwa na hatimaye mauti yalimkuta. R.I.P Stan Katabalo. Utakumbukwa Daima Dumu. MCT na TMF fikirieni kuanzisha Tuzo ya Stan Katabalo
 
Hakuna kama Stan Katabalo. Apumzike kwa amani. Hakuna gazeti kama Mfanyakazi na Motomoto, yapumzike kwa amani!
tukuyu nakubaliana na wewe. Hakuna gazeti kama Mfanyakazi na Motomoto. Mimi nakumbika ktk gazeti la Mfanyakazi kulikuwa na makala maridadi za michezo zilizoongozwa na mhariri mahiri aliyeitwa James Nhende.
 
Last edited by a moderator:
This is living[=color] kama alivyoandika Agoro Anduru!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgumia alishafariki
 
Huyo Katabalo alipotea tu Ghafla Kama Ben na Azory au ye alikufa Ghafla?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nani anakumbuka issue ya lolionda gate. ukiijua hiyo vema utakuwa unamjua katabaro tunayemzungumza. alikauka ghafla mpaka wa leo watu makini wanasikitika jamani katabaro. where is he We miss him so much. R.I.P
Loriondo gate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…