Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!

Naomba niende mbali zaid kwa kumlaumu huyu marehem.Hajaacha legacy yoyote kwakua hakuandaa watu kama yeye wa kuendelea pale alipoishia.Na hili ndio tatizo la watu wengi weusi..Ni wao kama wao tuu wakiondoka wao bas inabaki stori..no mentoring at all.Angalia angle tofaut tofaut utagundua hili.Hawapendi kuwaandaa watu mapema kwa ajil ya legacy yao matokeo yake wakifa wao na kila kitu chao kinakufa
 
Watu hata wewe unaweza kuandaa kwani alikuwa anapigania mali za ukoo wake?
 
Nchi hii inahitaji reform ya hali ya juu

Ova
 
Agoro anduru ni marehemu
 
Hao investigative journalists wote mliotaja ni wa kina iwe bojo. Kuna kitu inaashiria hii fact
 
Kabendera shinani,aliamya kujiua baada ya kutishwa na kagame ambae alimtumia ujumbe kuwa atamuua,basi akajitupia ziwani akafa
Aliacha ujumbe uliosema ,Rwanda hawanitaki na Tanzania hamnitaki.Issue kubwa ni kesi aliyofunguliwa mwaka huo huo 2000 alipokamatwa anajiandikisha kama mpiga kura mjini Bukoba.Alishakana uraia wa Tanzania baada ya kuhamia Rwanda na kuchukua uraia wa huko,hii ilimsababishia kupoteza uraia wa Tanzania na hivyo kupoteza haki za kisiasa kama kupiga kura.
 
Noma
 
Hatari sana.
 
Apumzike kwa amani
 
Mmh!!
 
Hatari sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…