Hakuna ubinifu,hata stendi yenyewe ni kizingumkuti.You can imagine mtu na nyumba yake moja anakiwa na visima hata viwili Sasa stand kama hii inainginza how much per hour?
This is pathetic
Ningekuwa ndiye mamlaka yake huyo anayesimamia stand hiyo hivi tunavyoongea angekuwa Nanguruwe anapulizia dawa mikorosho take. Huo ni uzembe hakuna sababu nyingine hapo.Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa suluhisho la muda mfupi kama kujaza ndoo
Uzembe huu hauhitaji hata kuwa na elimu ya darasa la nne ili kutatua tatizo Kama hili.
Nikweli tumefikia level ya upumbavu huu?
Milipuko ya mangojwa ya kuambukiza Kweli tutaweza kuwadhibiti kwa mentality za kijinga hivi?
Kwani ujui kuwa ccm yenyewe ni mafiiNi upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa suluhisho la muda mfupi kama kujaza ndoo
Uzembe huu hauhitaji hata kuwa na elimu ya darasa la nne ili kutatua tatizo Kama hili.
Nikweli tumefikia level ya upumbavu huu?
Milipuko ya mangojwa ya kuambukiza Kweli tutaweza kuwadhibiti kwa mentality za kijinga hivi?
Chooni kuwa sehemu chafu kabisa yenye kinyaa ni utamaduni ambao tumeujenga siku nyingi na kuja kuuondoa itachukuwa muda mrefu sana. Utashangaa hata nyumbani kwa watu wameshaamua vyooni ni sehemu inayostahili iwe chafu. Na funga kazi ya yote unakuta kila choo unachoingia kinakuwa na ndoo moja iliyojazwa maji na kopo kwa pembeni eti ni maji ya kutawazia!! Kila mtu baada ya kujisaidia anachovya kopo ndani ya choo halafu anafanya shughuli yake. Ni kinyaa!!!! Ni chafu wa hali ya juu huu!!! NB: Sabuni, bomba la kunawa mikono na toilet paper ni vitu vilivyopigwa marufuku kwenye vyoo vingi vya Bongo.
Exactly.Choo ndio kipimo cha akili ya mtu
Hiyo hiyo ya Mbezi enzi za Musolini.Kwani si mliambiwa muache mavi yenu nyumbani, au mmesahau? 🤣🤣🤣.
Stand ipi hiyoo
Labda viongozi wa hii stand wame zowea kutawaza na majani, ndiyo maana hawaoni umuhim wa maji!Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa suluhisho la muda mfupi kama kujaza ndoo
Uzembe huu hauhitaji hata kuwa na elimu ya darasa la nne ili kutatua tatizo Kama hili.
Nikweli tumefikia level ya upumbavu huu?
Milipuko ya mangojwa ya kuambukiza Kweli tutaweza kuwadhibiti kwa mentality za kijinga hivi?
Ngoja mwaka 1 uone hali ya stand hii. Kujenga ni ngumu, maintaining the standards ni ngumu zaidi.Tanzania tunafunguaga mavitu kwa mbwembwe kweli......
Huko mbeleni sasa
Ova
Yaani watu hawapo responsible kabisa.Yaani ni aibu kabisa. Mimi nikishaona mahali choo ni kichafu, hapo hujua akili yote ya muhusika. Sehemu ambayo ni lazima kwenda penda usipende panakuwaje pachafu? Kuna choo ukiingia siku nzima huwezi kula!
Yaani watu hawapo responsible kabisa.
Sikuwahi fikiri kama kungekuwa na upumbavu wa namna hii.
Socket nyaya zipo wazi zimeharibika no preventive maintainance?
Wangetokea wenye akili zao wajisaidie sehemu ya wazi ndo wamgetia akili. Sasa pale mtu unaenda kujisaidia wapi?Hiyo hiyo ya Mbezi enzi za Musolini.
Labda kipindi cha mwendazake sio kipindi hikiKwa Tanzania ningeshangaa sana kama sehemu kama hiyo stendi ingeendeshwa bila kutokea kasoro za kizembe namna hii. Mnashangaa utamaduni ambao tumejiwekea wenyewe. Uzembe na kutowajibika ndiyo utamaduni wetu hivyo msishangae. Bila kubadili mfumo ni bure. Inatakiwa tuwe na mfumo ambao uzembe kama huu ukitokea kesho yake wahusika wote wanafukuzwa kazi.
Tumerith uchafu kwa warabu na wahindi.Katika vitu nimegundua hatujali sisi waswahili ni choo. Unakuta choo kiko mahali pa umma lakini ni pachafu kupita maelezo. Unakuta watu wamevaa masuti mazito mazito lakini hivyo vyoo wanavyoenda kujisaidia ni bonge la aibu.