Stand kuu ya mabasi kukosa huduma ya choo kwa masaa zaidi ya sita kwa kisingizio za kutokuwa na maji ni uwendawazimu, hiki ni kioo Cha nchi

Stand kuu ya mabasi kukosa huduma ya choo kwa masaa zaidi ya sita kwa kisingizio za kutokuwa na maji ni uwendawazimu, hiki ni kioo Cha nchi

You can imagine mtu na nyumba yake moja anakiwa na visima hata viwili Sasa stand kama hii inainginza how much per hour?
This is pathetic
Hakuna ubinifu,hata stendi yenyewe ni kizingumkuti.
Haya mambo yanaanzia kwenye design,kama hakuna mataki makubwa ya maji ya ziada unategemea nini,au vyanzo vya maji mbadala.
Mazalio ya kipindupindu.
 
Nchi ina mito, ina maziwa, ina bahari lakini maji bado shida. Ni vigumu kuelewa.
 
Nchi hii tulishashindwa kusimamia mambo yetu
Alafu hapo haja ndogo,haja kubwa ukitaka huduma hiyo unatoa pesa

Ova
 
Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa suluhisho la muda mfupi kama kujaza ndoo
Uzembe huu hauhitaji hata kuwa na elimu ya darasa la nne ili kutatua tatizo Kama hili.
Nikweli tumefikia level ya upumbavu huu?
Milipuko ya mangojwa ya kuambukiza Kweli tutaweza kuwadhibiti kwa mentality za kijinga hivi?
Ningekuwa ndiye mamlaka yake huyo anayesimamia stand hiyo hivi tunavyoongea angekuwa Nanguruwe anapulizia dawa mikorosho take. Huo ni uzembe hakuna sababu nyingine hapo.
 
Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa suluhisho la muda mfupi kama kujaza ndoo
Uzembe huu hauhitaji hata kuwa na elimu ya darasa la nne ili kutatua tatizo Kama hili.
Nikweli tumefikia level ya upumbavu huu?
Milipuko ya mangojwa ya kuambukiza Kweli tutaweza kuwadhibiti kwa mentality za kijinga hivi?
Kwani ujui kuwa ccm yenyewe ni mafii
 
Chooni kuwa sehemu chafu kabisa yenye kinyaa ni utamaduni ambao tumeujenga siku nyingi na kuja kuuondoa itachukuwa muda mrefu sana. Utashangaa hata nyumbani kwa watu wameshaamua vyooni ni sehemu inayostahili iwe chafu. Na funga kazi ya yote unakuta kila choo unachoingia kinakuwa na ndoo moja iliyojazwa maji na kopo kwa pembeni eti ni maji ya kutawazia!! Kila mtu baada ya kujisaidia anachovya kopo ndani ya choo halafu anafanya shughuli yake. Ni kinyaa!!!! Ni chafu wa hali ya juu huu!!! NB: Sabuni, bomba la kunawa mikono na toilet paper ni vitu vilivyopigwa marufuku kwenye vyoo vingi vya Bongo.

Yaani ni aibu kabisa. Mimi nikishaona mahali choo ni kichafu, hapo hujua akili yote ya muhusika. Sehemu ambayo ni lazima kwenda penda usipende panakuwaje pachafu? Kuna choo ukiingia siku nzima huwezi kula!
 
Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa suluhisho la muda mfupi kama kujaza ndoo
Uzembe huu hauhitaji hata kuwa na elimu ya darasa la nne ili kutatua tatizo Kama hili.
Nikweli tumefikia level ya upumbavu huu?
Milipuko ya mangojwa ya kuambukiza Kweli tutaweza kuwadhibiti kwa mentality za kijinga hivi?
Labda viongozi wa hii stand wame zowea kutawaza na majani, ndiyo maana hawaoni umuhim wa maji!
 
Tanzania tunafunguaga mavitu kwa mbwembwe kweli......
Huko mbeleni sasa

Ova
 
Yaani ni aibu kabisa. Mimi nikishaona mahali choo ni kichafu, hapo hujua akili yote ya muhusika. Sehemu ambayo ni lazima kwenda penda usipende panakuwaje pachafu? Kuna choo ukiingia siku nzima huwezi kula!
Yaani watu hawapo responsible kabisa.
Sikuwahi fikiri kama kungekuwa na upumbavu wa namna hii.
Socket nyaya zipo wazi zimeharibika no preventive maintainance?
 
Yaani watu hawapo responsible kabisa.
Sikuwahi fikiri kama kungekuwa na upumbavu wa namna hii.
Socket nyaya zipo wazi zimeharibika no preventive maintainance?

Na hapo bado jengo ni jipya, chukua mia mitano mbele! Hapo ndio ujua.
 
Naamuru abiria wote wenye uhitaji wa kujisaidia,ww kuny@ popote upendapo,wahusika watakuja kusafisha.
Tumechoka kuwa na visingizio vya watoto wa chekechea.
 
Kwa Tanzania ningeshangaa sana kama sehemu kama hiyo stendi ingeendeshwa bila kutokea kasoro za kizembe namna hii. Mnashangaa utamaduni ambao tumejiwekea wenyewe. Uzembe na kutowajibika ndiyo utamaduni wetu hivyo msishangae. Bila kubadili mfumo ni bure. Inatakiwa tuwe na mfumo ambao uzembe kama huu ukitokea kesho yake wahusika wote wanafukuzwa kazi.
Labda kipindi cha mwendazake sio kipindi hiki
 
Katika vitu nimegundua hatujali sisi waswahili ni choo. Unakuta choo kiko mahali pa umma lakini ni pachafu kupita maelezo. Unakuta watu wamevaa masuti mazito mazito lakini hivyo vyoo wanavyoenda kujisaidia ni bonge la aibu.
Tumerith uchafu kwa warabu na wahindi.
Choo mambo ya MABEBERU hayo, wametuacha mbali sana kwenye swala la choo. Mungu awabariki MABEBERU.
 
Unaweza ukavuna mbolea bora kabisa toka kwenye vyoo vya umma na
 
Back
Top Bottom