Starehe visiwani ndani ya kisiwa cha Ukerewe, ule ni ulimwengu mwingine

Labda walikuloga ukaiona ukerewe ya ndotoni, kule kuna Muha alitaka kuniuzia nyumba kwa laki tisa nikamwambia akawauzie ndugu zake, ilikua 2020. Bado nilihitaji kuishi πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ.
 
U
UKerewe ndio kisiwa hatari sana kuishi ktk visiwa vyote vya Tanzania na Afrika.

Ujambazi, mauwaji, ushirikina, Ujatiri dhidi ya binadamu.

Nakusihi tembelea Confession( Ushuhuda) kwenye Youtube Chanel ya Davista Mata uone kijana aitwaye WAMAYO akisimulia mikasaΜ€, misuko suko na harakati za Visiwa vyote vya Victoria.

Kiufupi Serikali imevitenga visiqa hivi hakuna Hyduma za ulinzi wala usalama
 
Kuna kisiwa kimoja ukitoka Ukerewe kupitia Igombe kinaitwa Beze πŸ˜ƒ kupata mwanamke wa buku jero ni kitu rahisi! Usiku ni full Sodoma na Gomora
Hapo Bezi cha mtoto ukifika Ghana, Siza au Gozba ndo utajua utamu wa kisiwa
 
Nilisema Mimi wanasema nadanganya
 
uyo kiongozi wa dini nae imani yake ndogo sana
 
Wale pisi au wafanya biashara. Hafu ulivyosema full amani hapo hapana. Kule kuuwana kisa pesa au demu nje nje.
Ukerewe hakufai hata kidogo. Huyo Jamaa alienda na UNDP akiwa na fedha zake za Trump.
Ni rahisi unapojiandaa kwenda sehemu ukiwa na pesa ukaamini sehemu fulani Maisha ni rahisi. Sasa kaa hiyo seheku miezi sita mpaka mwaka zile fumba ulizokwenda nazo ziishe ndio utajua kumbe wenyeji wanapambana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…