Starehe visiwani ndani ya kisiwa cha Ukerewe, ule ni ulimwengu mwingine

Nilimwambia watu hapa wanasema naongopa
Siku nyingine fika Ghana na Siza
 
Nilimwambia watu hapa wanasema naongopa
Siku nyingine fika Ghana na Siza
Ghana na Siza pia nimefika mkuu sio mchezo nilitoka huko nimenenepa balaa maana ilikua ukiamka asubuhi ni supu ya sato/sangara za kutosha supu mchuzi mzito rangi ya maziwa plus viazi vya kuchemsha....yan ilikua ni mwendo wa kula michemsho tu.
 
Hi
Hii nakubali Kwa asilimia kubwa kuna mtu ana chale zaidi ya mia
 
Ghana na Siza pia nimefika mkuu sio mchezo nilitoka huko nimenenepa balaa maana ilikua ukiamka asubuhi ni supu ya sato/sangara za kutosha supu mchuzi mzito rangi ya maziwa plus viazi vya kuchemsha....yan ilikua ni mwendo wa kula michemsho tu.
Nakumbuka nilirudi mkoani nikiwa nimeimarika sana upande wa mambo ya sita kwa sita nilikua na energy ya kufa mtu mpaka wife akawa anashangaa.....
 
Nakumbuka nilirudi mkoani nikiwa nimeimarika sana upande wa mambo ya sita kwa sita nilikua na energy ya kufa mtu mpaka wife akawa anashangaa.....
🤣😅😃Supu ya sato tena ambaye hajapita kwenye fridge Huwa ndo mambo yote
Ukienda kipindi cha kiangazi Kuna samaki anaitwa ngere huyo ukimla basi ni mwendo wa kutochoka
Nilikutana na demu pale nansio alinipa mauno sijawahi ona hata kwenye video za porn🤣
 
Taarifa zako sio zote za kweli

Kuna nyingine hapo ni za uongo

Mfano umesema kwenye hiyo taarifa yako, kwamba kule mtu akifa anatupwa ziwani

Hii taarifa sio sahihi.

Nina ndugu zangu Ukerewe

Babu/Bibi walipofariki tulienda kuwazika kule kule Ukerewe.

Makaburi yapo, na watu wanazikwa
 
😂😂😂 ngere niliwahi kuwala aise huko Irugwa aise niwatamu balaa sio mchezo hasa wakiwa kama wanakaribia kuharibika hivi yan supu yake ni balaa mkuu...kuna samaki mwingine anaitwa Hogwe duuh huku mjini hatuenjoy bhana.
 
Hongwe, kamongo, sato, Sangara
Au upate furu na ugali
We maisha ya visiwani ni matamu
 
Kama babu na bibi zako walizikwa huko na kama walikua ni upande wa baba yako basi bila shaka na ww ni mkerewe?

Kama ni mkerewe sishangai kujiona kuwa sio mkerewe maana ndio asili ya wakerewe kujifanya sio wakerewe.
 
Nimekwambia visiwani
Sio kila Ukerewe ni visiwani
 
Hasa hilo la kutupa maiti ziwani nahisi katudanganya.
Ila sijui lkn
 
Hongwe, kamongo, sato, Sangara
Au upate furu na ugali
We maisha ya visiwani ni matamu
Ww kweli ulikaa aise...mimi visiwa vya huko karibia vyote nimefika na kukaa huko almost mwezi mzima....kuna kisiwa kimoja kinaitwa BWIRO nacho ni balaa moto wa kuotea mbali.
 
Nimekwambia visiwani
Sio kila Ukerewe ni visiwani
Kuna kisiwa kinaitwa LYEGOBA nakumbuka kipindi hicho nimeishi huko ilikua haipiti wiki kusikia kuna mtu kauliwa kwa kuchomwa kisu yan ilikua ni jambo la kawaida mkuu
 
Asante Kwa marekebisho.

Vipi mbususu nasikia bei Rahisi saana na zina quality kuliko hizi za tabata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…