Mkuu ngoja nikuchane kuhusu pale mcity, wengi wanafanya vikao vya siri pale kama hujui hlo jinsi palivyokaa pili wengi wanapretend sana maisha pale kuna watu huwa wanaenda kuzurura tu mle kupiga selfie kushangaa nk. Na pia kuna wenye pesa zao wengi tu ambao utawakuta pale wakitanua pizza hut mle, kfc, samaki samaki nk. Mcity sio safe place kuna utapeli mwing sana mle ukiwa zobaa utapigwaa sanaa na huu utapel unafanywa sana na wanawake warembo becareful unavokuwa mle. Madem wa chuo wengi wanapenda kwenda pale hasa kunatua kujiuza nk ukitaka wanawake hawa na jins ya kuwatambua ntakuchana
Kuhusu piza hadi ya 15k unapata, pale kfc kuanzia buku6 unapata vichips afu nakupa trick kama unataka soda, maji nk nenda choppers au game pale unapata take away yako kwa 900 tu