monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Hatar sana!Umesahau bei ya mademu wanaojiuza hapo mkuu!
Kwanza huwa wanakodi magari na kujifanya ni yao ili ukiwaibukia wakuuzie mbunye kwa 500k!!
Afu mbunye yenyewe sasa!!!! Haina hata ladha basi tu imebebwa na mitako mikubwa.
Ukweli mtupu!Kwa kifupi Mlimani City pamejaa majambazi Dume na majambazi Jike hivyo ukiingia pale wewe unakuwa ktk hali ya "Owners risk"
ubungo externalUnasoma tegeta ukitokea wapi?
hahahahah we unazungumzia poa kwa minajili ipi? Mie roho haiumi nikilipia watoto tu wafurahi. Awamu hii tuko cost concious sana wala sio stingy🤣🤣🤣 hata wewe jamani. Mbona wanaume jamii ni stingy hivi. Mlimani city pale vitu bei poa sana tu.
Kwahyo na luku za hapo unit zake ni bei kubwa kuliko huku uswahilini?Pale mi huwa napita kununua luku tu
Hao samaki ni wale alioamuru Yesu wavuliwe au samaki hawahawa tunaokula siku zote?Waliniuzia wali samaki elfu 18 pale samaki samaki sitasahau
Nipe connection baharia wangu jiwe kaongeza mihela[emoji23] [emoji23]Nilimbeba mbongo muv mmoja pale na tako lake lile sijui la mchina aiseeee Mana s kwa ulain ule [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
2500 unapata soda take away mbili na chenji inarudi [emoji23] [emoji23][emoji38][emoji38][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] connection zipo tu pale Tena hao wabongo muvi n cheap labour kabisa kuna mmoja anatembelea Subaru[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nipe connection baharia wangu jiwe kaongeza mihela[emoji23] [emoji23]
Hicho ndiyo Kijiwe Kikubwa na Makao Makuu ya Kupumzika ( Kula Bata ) na Kupanga Mikakati zaidi kwa Wauza Dawa za Kulevya wengi nchini Tanzania , Matapeli wakubwa nchini na Mafisadi pamoja na Wala Rusha wakubwa pia. Kama ulikuwa hulijui hilo pole mno Mkuu na natumai kwamba kuanzia leo utakuwa umeshapata Jibu lako. Fanya Utafiti wako juu ya haya niliyokuambia na najua ipo Siku utakuja Kukubaliana nami hapa hapa.
Umesahau bei ya mademu wanaojiuza hapo mkuu!
Kwanza huwa wanakodi magari na kujifanya ni yao ili ukiwaibukia wakuuzie mbunye kwa 500k!!
Afu mbunye yenyewe sasa!!!! Haina hata ladha basi tu imebebwa na mitako mikubwa.
hii ngumbiru uskute inaishi kwa shemeji yake
Kwamtogole 50MBAGALA 300/=[emoji125][emoji125]
Nmeconfirm sasa wew ni bwana mycin..hata ubadili jins ya uandish ila kuna mahal unakwama tuNimesema wengi wao na sijahalalisha au kuhitimisha popote pale kwa kusema ni wote. Hopeless Wewe!
Embu fafanua vizuri kwa hao wadada wanaojiuza mkuu...Mkuu ngoja nikuchane kuhusu pale mcity, wengi wanafanya vikao vya siri pale kama hujui hlo jinsi palivyokaa pili wengi wanapretend sana maisha pale kuna watu huwa wanaenda kuzurura tu mle kupiga selfie kushangaa nk. Na pia kuna wenye pesa zao wengi tu ambao utawakuta pale wakitanua pizza hut mle, kfc, samaki samaki nk. Mcity sio safe place kuna utapeli mwing sana mle ukiwa zobaa utapigwaa sanaa na huu utapel unafanywa sana na wanawake warembo becareful unavokuwa mle. Madem wa chuo wengi wanapenda kwenda pale hasa kunatua kujiuza nk ukitaka wanawake hawa na jins ya kuwatambua ntakuchana
Kuhusu piza hadi ya 15k unapata, pale kfc kuanzia buku6 unapata vichips afu nakupa trick kama unataka soda, maji nk nenda choppers au game pale unapata take away yako kwa 900 tu
Bei zao zimekaaje? maana kwa usawa huu mwisho wangu huwa ni 50K hapo demu mdada atakunywa na tutaondoka nae..Nenda cinemax pale around mitaa ya pale kuna galz utakuta wana rob rob hawana campan ukimfuata wwngi atakwambia umlipie entrance mchek movie then utasepa nae hawa wengi ni wanachuo, samaki samaki hapa ni expensive bitches kama unapesa ya mawazo usijarib kabisaa na ni wakali balaa mitako ndo hyoo na kuna wwngine wanapenda kaa mwishon kabisa kordoni near na crdb bank au tpb bank siku za weeknd hz hasa night utakuta wamekaa au wamesimaa kwenye chuma flan wanakula selfie nk we mfate mchane una campan? Utaskia sina bhs ushapata. Mcity madem wanajiuza kwa akili so kma sinzaa[emoji23][emoji23]