Starehe za Mlimani City na bei za ajabu ajabu

Nshalewa sana samak samak..unakunywa kwa strategy na ukishazoeana na wadada wale bas mambo ni swaf nakufundisha sasa tunalewaje
1.kwanza usinywe bia...kunywa shots zile kadhaa,mi wadada wale ni maswahiba so nakunywaga shots 5 kwa elf12,namwambia kabisaaa sina hela leo..ukijifanya unahela imekula kwako

2.then kama mtu wa nyag ongeza kabapa kadogo kale ka1 una.wambia,akuwekee kwenye glass kubwa ile wala,asikuletee lichupa so mtu akija pale anaona tu maj meupe anahisi pombe ya gharama

3.mwisho,unaburudika na kamziki kula unaenda kula on the way home
Mwishi wa siku najikuta nmetumia elf20 tuu samak samak ma.mae.
 
Mie huwa nawashangaa sana watu wa mjini.!
Unapojua kuwa huna hela unashindwaje kubeba vitu kutoka nyumbani kwenu?
Beba maji ya kunywa kwenye jagi, vitumbua au mabumunda, chupa ya togwa, jamvi la kukalia, kopo la kukojolea vingine utakavyoona vinakufaa!
 
HAHAAHHA WATAKUZINGUA
 
We kula unapopamudu ..mlimani city waachie wenye uwezo napo
 
Nimekumbuka enzi za chuo tulikua tunaenda kununua maapple na chocolate ili mradi tu tutoke na mfuko wa ShopRite

Tunaingia Mr Price tunazungukaaa tunaulizia bei ya kila nguo ..[emoji1787][emoji1787] khaa!

Tuchips twa marybrown Sasa..haushibi ila basi tu udada duu nasisi tuonekane tunakula pale..[emoji1787][emoji1787]ujinga aisee
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Siyo level zako, kahangaike na sehemu ambazo ni level zako. Kila kitu kina grade hadi maisha yetu.
 
Mlimani city ukiachana na starehe za migahawani huko ila kule ndani kuna vitu vina bei rahisi kuliko mtaani hasa vile vya matumizi ya nyumbani
 
Eti au mnajitoa akili tu! teh.

Niliwahi kunywa juisi glass mbili pale (kiu kilinikamata mida ya jua la utosi). Naletewa bili shilingi elfu 10. Nilichoka!

Ndio maana wengine wanaendaga kupiga picha na kufanya window shopping tu!
 
Kweli bora uwaambie mara moja moja unaridhisha nafasi maisha yenyewe mafupi haya.... Unavibania vinakuja kuliwa na wengine
 
Hii ndio maana halisi ya kutojitambua sasa.

Samaki Samaki ni moja kati ya viwanja maarufu sana vya mabepari ya mjii huu na huwezi kukuta yanalalamikia bei.
Haijalishi huduma za hapo zipoje ila bei kama hizo zinawekwa ili kupunguza "aina fulani" ya wateja.

Nimekwambia hujitambui kwasababu umeshindwa kutafuta viwanja vya saizi yako kiuchumi,na vipo vingi sana ambapo utaenda kufurahia maisha bila kutoa malalamiko kama haya.

Know your class,spend within the limits of your class.

Pale waachie walioiweza hii dunia.
 
Pale unalipia bidhaa,mandhari na pango ndio maana bei ziko hivyo,kama ghali nenda na kinywaji chako..
 
Ukiona unalalamikia bei za vitu ujue baado una safari ndefu kiutaftaji mkuu.
Wewe kula kwa akina mama ntilie huku ukiendelea kukaza misuli kutafta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jibu la kikubwa hilii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…