Starehe za Mlimani City na bei za ajabu ajabu

Umesahau bei ya mademu wanaojiuza hapo mkuu!
Kwanza huwa wanakodi magari na kujifanya ni yao ili ukiwaibukia wakuuzie mbunye kwa 500k!!
Afu mbunye yenyewe sasa!!!! Haina hata ladha basi tu imebebwa na mitako mikubwa.

Kaka una dharau 🤪🤪
 
Mlimani city zamani kabla mkemia mkuu kuingia...
 
Ni upumbavu hata kama ninahela siwezi tumia kiupuuzi ivyo, hapa si newyork useme ndio nipo nchi ambayo hata matunda yanatoka nje ya nchi ndo maana hata natural juice naweza nunua kwa dola 15 kwa glasi, yani ni sawa sawa mtu alie uarabuni ana gari alafu aende sheli inayouza petrol dola 2 kwa lita wakati zipo nyingi petrol ni 0.30$ per lita Wtf
 
msalimie Chris Kirubi
 
Bei za bongo wanachekesha kweli.Kama hawa siku hizi walokuja na kiatu 150,000 afu "daakombain" wakati angeuza 45,000 kingempa faida.
 
Ha ha ha lazima uchoke.. Sasa watu wanaleta ubishi humu eti ni kawaida!
Eti au mnajitoa akili tu! teh.

Niliwahi kunywa juisi glass mbili pale (kiu kilinikamata mida ya jua la utosi). Naletewa bili shilingi elfu 10. Nilichoka!

Ndio maana wengine wanaendaga kupiga picha na kufanya window shopping tu!
 
Kuna dem m1 nilimtafuna pale fish fish,anajifanyaga kuvaa pete ya ndoa,wakat hata hajaolewa white hiv,mhudumu...jina linaanzia na H.mrembo hatar tatzo ni hyo kaz yake ndio ilinifanya nipige na kusepa,angekua na kaz nyingne ningehamia mazima..
Mh,kaka,samahani.Kazi yake nadhani si tatizo sana.Wapo wenye kazi za hadhi lakini wana kila ovu na baya unalodhania kwa huyo dada 'white'...TENA KWA ZIADA na utakimbia mwenyewe hatimae.Huyo 'white' aweza kuja kupata mtu,akatulia na ukasahau ndiye yule na akatamanika tena, huku mwoaji akipata utulivu wa penzi la dhati toka kwa mwanamke huyo.
Kazi nzuri zaficha uchafu mwingi sana lakini katika uhalisia,wapo kibao wenye kazi za hadhi,staha,walioelimika vema lakini ni ni 'stigler' ya aibu,flustrations,tabia mbovu na chafu na hata maumivu.
Anyway, ni uchaguzi binafsi wa mtu tu lakini!
 
Mjini mahesabu
 
Wangeuza hata buku 2...popcorn za chumvi buku 4..jamaa hawako serious
Ila ushawahi jiuliza gharama za AC na zile public toilets nani anawalipa wale jamaa wanaofanya usafi. Wewe mteja ndio unalipia kwa kuongezewa bei ya bidhaa, pia pango la mlimani city ni kubwa sana ukilinganisha na sehemu nyenhine
 
Kweli aiseee mchimba chumvi hawezi tia mguu pale, wale ni watu wenye pesa fulani zisizo na mawazo
 
Aseee nomaa
 
"Mnamjua huyu ni nani.. Mnamjua huyu ni nani".
 
Hahahaha,.
Umesahau bei ya mademu wanaojiuza hapo mkuu!
Kwanza huwa wanakodi magari na kujifanya ni yao ili ukiwaibukia wakuuzie mbunye kwa 500k!!
Afu mbunye yenyewe sasa!!!! Haina hata ladha basi tu imebebwa na mitako mikubwa.
 
Pale wanaenda watu walio iweza hii dunia sio wachimba chumvi wale wanaokaa kwenye miti mirefu kusubiri jua lizame walale kama ndege, so wanaenda wakijua wanachokifanya upgrade level ya maisha utaelewa zaidi dunia ikoje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…