Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

[emoji123]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unacheza game gani?

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Tafuta mchuchu awe anakupa sapoti, sisi tusikua na marafiki wengi tunaishi kwa shida sana , unakaa mtaani watu hata hawakujui
Kuna time majiran wananiulizaga umerudi line, unajiuliza Sasa nilisafiri Kwenda wap?upo nao hapo hapo ila wanakuona kwa kuotea sana[emoji2]
 
Kuna time majiran wananiulizaga umerudi line, unajiuliza Sasa nilisafiri Kwenda wap?upo nao hapo hapo ila wanakuona kwa kuotea sana[emoji2]
Kabisa yaani mimi pia majirani siwajui ila wao wananijua , unakutana na mtu anakuchangamkia unajiuliza huyu nani mbona simjui alafu yeye ananichangamkia kumbe jirani yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…