Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Ni lugha gani nzuri kujifunza kwa hii dunia achana na kichina? Maana boss wetu anatusihi tujifunze kifaransa Ila najihisi nimezeeka kujifunza lugha mpya?
Lugha ni matumizi mkuu, ukijifunza bila kuwa na matumizi nayo ni hasara.

Kuhusu aina ni ww kuangalia future yako inaelekea kuwa na uhitaji wa lugha ipi.
Hata kama unahisi hapo mbeleni utakuja kujumuika na wasambaa ni sahihi kujifunza kisambaa.
 
Nazidi kujifunza aisee, ujue kwa umri huu nilionao sikuwahi kujua kama kula nako ni starehe. Yaani ndiyo naambiwa hapa kwenye hii thread.

Ova
 
Dah!! Yangu ni kuBAIOLOJIANA kwa kweli, napenda kuBAIOLOJIANA kuliko kula.

Nikikosa kuBAIOLOJIANA ndio nitacheza game haswa mpira, nitatizama mpira, nutaucheza mpira, nitaenda kuogelea, kusikiliza na kuucheza mziki(nishazeeka siku hizi, zamani pia vilikuwa ni vitu vyangu hivyo)
 
Mkuu hobby haina umri🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…