Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Going somewhere during evening ndo mpango mzima kwakweli. Unaenda unakaa sehemu,unakunywa kongolo na ndizi 2 saaafi kabisa.Unakutana na watu wapya then unarudi home unalala. Si lazima unywe pia
Boredom ikiingia unaweza kufanya yote hayo na ukabaki the same, na lazima ije at some point in life, hakuna kinachoenda, mwili mzito, kila unachofanya ni kama hakifai...
 
Ukiweza dhibiti mihemko unaishi Mbona kama wale mabudha, Mimi niliweza kukaa Six Month Bila manzi life style ikawa Movie.game.series
.mazoezi.stori vijiweni na washkaji nikirudi nakula joging then movie Namshukuru mungu nalala the day is over [emoji120]

NB.MARUFUKU KUJIKULIA SHERIA MKONONI
 
Nime kuelewa, kuhusu kuji chukulia sheria mkononi hao ni team dronedrake, Half american, mshamba_hachekwi 😆🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…