The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,389
- 6,665
"When Samia Suluhu became Tanzania’s first female president in 2021, after the sudden death in office of her predecessor, there were hopes that her presidency would mark a break from authoritarian rule. She lifted a ban on opposition rallies, allowed the media to operate more freely, and called for greater political inclusivity. Expectations of lasting change, however, soon faded.
From opposition figures and human rights activists, to artists and members of the ruling party itself, an unprecedented crackdown on government critics has shaken Tanzania.
Through powerful testimonies from survivors of abduction and torture, and vivid reconstructions of their harrowing experiences, this film reveals the campaign of intimidation and fear that government critics endure in the country."
Source: BBC
WATCH:
View: https://youtu.be/9WkYK-SjJtE
Wahuni lazima mlipie laana itawamaliza.hizi report ni maandalizi ya the hague.Ifike mahali kuwe na jipya kwenye hizi report zenu za kila mwezi... Masikitiko gani mapya kwetu
Mkuu jibu ni dogo sana, kuna sikitiko gani jipya kwenye hiyo report mbona kujieleza kwingi.Wahuni lazima mlipie laana itawamaliza.hizi report ni maandalizi ya the hague.
Tunaexpose wahuni wanaofikiri wapo huru.ukweli ni kwamba wamepata laana na wataisha kwa sababu ya laana.Mkuu jibu ni dogo sana, kuna sikitiko gani jipya kwenye hiyo report mbona kujieleza kwingi.
Weka link rafiki tusikilizeRepoti ya BBC inasikitisha.inaonesha madhara ya kuongozwa na wahuni.uzuri ni kuwa mmepata laana kwa sababu ya damu na uhuni kama ulawiti mliofanya.Mungu amesikia kilio na laana itawamaliza.
Ipo utube BBCWeka link rafiki tusikilize
OkIpo utube BBC
Kwani masikitiko yana kikomo? Majitu ya hovyo utayajua tu. Ni ukichaa hata kukaa kimya wakati binadamu wenzako wanatendewa hayo.Ifike mahali kuwe na jipya kwenye hizi report zenu za kila mwezi... Masikitiko gani mapya kwetu
Link ipo hapo juuReport yenyewe ipo wapi na kuna nini kwenye hiyo report?
Ripoti zenu! wewe hazikuhusu? wewe ni mume wa Samia? au ni kichwa kibovu unayehangaika nawe uitwe chawa! Umechelewa. Mambo yameshaharibika.Ifike mahali kuwe na jipya kwenye hizi report zenu za kila mwezi... Masikitiko gani mapya kwetu
Dogo una roho ngumu.Ifike mahali kuwe na jipya kwenye hizi report zenu za kila mwezi... Masikitiko gani mapya kwetu
Mlishaambiwa na Lary, kama unataka mazuri, nenda kwenye ukurasa wa utalii wa nchi yako😂😂Ifike mahali kuwe na jipya kwenye hizi report zenu za kila mwezi... Masikitiko gani mapya kwetu
Ifikie mahali tuache kumsifia Samia kila siku,maana hana jipya bandari imekwenda kifuatacho ni dhahabu.Ifike mahali kuwe na jipya kwenye hizi report zenu za kila mwezi... Masikitiko gani mapya kwetu