State of Fear: Inside Tanzania's Enforced Disappearances - BBC Africa Eye Documentary

State of Fear: Inside Tanzania's Enforced Disappearances - BBC Africa Eye Documentary

Repoti ya BBC inasikitisha.inaonesha madhara ya kuongozwa na wahuni.uzuri ni kuwa mmepata laana kwa sababu ya damu na uhuni kama ulawiti mliofanya.Mungu amesikia kilio na laana itawamaliza.

Kuna watu watapukutishwa
 
Mimi siwapendi ccm lakini kwenye ukweli naona ccm 70% na hao BBC 20%. Sijawahi kuwaamini watu wa ulaya kutetea kikamilifu maslahi ya Muafrika.

Ukiwaona ujuwe wapo kwa maslahi yao binafsi sio kwa wananchi wa hio nchi. Narudia tena huu ni uono wangu binafsi tu.
 
Watanzania kujitetea wenyewe hawawezi, wakitetewa na wengine wanakasirika. Ndo maana akina mafwele wameamua kumsaidia mungu kwenye uumbaji wake, kwamba huyu hastahili kuishi na yule anastahili kuishi mpaka tutakapojitambua kwamba mungu ndo wenye uwezo wa kutuamulia kuhusu uhai wetu.
 
Mimi siwapendi ccm lakini kwenye ukweli naona ccm 70% na hao BBC 20%. Sijawahi kuwaamini watu wa ulaya kutetea kikamilifu maslahi ya Muafrika.

Ukiwaona ujuwe wapo kwa maslahi yao binafsi sio kwa wananchi wa hio nchi. Narudia tena huu ni uono wangu binafsi tu.
Nenda kachukue posho yako Lumumba
 
Kwani masikitiko yana kikomo? Majitu ya hovyo utayajua tu. Ni ukichaa hata kukaa kimya wakati binadamu wenzako wanatendewa hayo.
Matendo mengine yanafanyika TZ yanaweza kufanywa tu na watu wasiostaarabika. Evil people

Mana aliyefiwa na mwanawe kuna siku anaacha kulia?
Kuna watu Wanainajisi nchi yetu.
Hahaha
 
"When Samia Suluhu became Tanzania’s first female president in 2021, after the sudden death in office of her predecessor, there were hopes that her presidency would mark a break from authoritarian rule. She lifted a ban on opposition rallies, allowed the media to operate more freely, and called for greater political inclusivity. Expectations of lasting change, however, soon faded.

From opposition figures and human rights activists, to artists and members of the ruling party itself, an unprecedented crackdown on government critics has shaken Tanzania.

Through powerful testimonies from survivors of abduction and torture, and vivid reconstructions of their harrowing experiences, this film reveals the campaign of intimidation and fear that government critics endure in the country."

Source: BBC

WATCH:

View: https://youtu.be/9WkYK-SjJtE

Sasa wageni si wataogopa kuja Bongo , kama Hali ni hii
 
Mimi siwapendi ccm lakini kwenye ukweli naona ccm 70% na hao BBC 20%. Sijawahi kuwaamini watu wa ulaya kutetea kikamilifu maslahi ya Muafrika.

Ukiwaona ujuwe wapo kwa maslahi yao binafsi sio kwa wananchi wa hio nchi. Narudia tena huu ni uono wangu binafsi tu.
But haijalishi ni maslahi au vp nadhani walichokiongea ni ukweli na wote tumekishuhudia tokea mwanzo wa hizi awamu mbili. Yaaani ni ukweli uleule ambao tumekuwa tunaishi nao sema tu sasa hv unaongelewa kwa sauti ya kimataifa zaidi. Sasa ishu ya maslahi au la haiwezi kufuta kwamba linachoongelewa ni ukweli tu. Actually ukiachana na BBC nadhani kuna vyombo zaidi ya vitatu vimeishaongelea hili swala kwa uzito huuhuu sasa mm kwa upande wangu naona hili jambo ni zito tu.....yaaani government imefanya mambo kienyeji sana na sasa inawacost tu.
 
Huko ndiko pesa zimetoka na zikawafikia ring leaders wa maandamano kupitia kwa Maria Sarungi
Je unafahamu kwamba maandamano ni haki kisheria na mlitarajia kwamba kila wakati muwe mnahujumu tu uchaguzi na watu wawe wanawasifia tu ujinga wenu.
 
Gentleman,
sasa mtu kama wewe unaweza kweli kuikosoa serikali kweli zaidi ya kukurupuka kwa mihemko na kuporomosha matusi tu ambayo ni kito nonsense na useless kabisa?

maana hicho ndicho mlichofundishwa na chama chenu kinachofadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi na ndio maana mmebebwa ufala wa kifikra kirahisi tu na kufanywa magaidi na mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi :NoGodNo:
Nawe unaonesha huna kitu kichwani. Mambo ya chama yametoka wapi? Unaamini mauaji yalifanywa na CCM kwa hiyo waliuwawa ni CHADEMA? Aliyeua ni Samia. Kama Samia ndo CCM, huo ni ufinyu wa akili.

Kuna sehemu mtu anauliza Ushabiki wa Kikwete kwa Samia ulikuwa wa nini? Hakujua kwamba ana uwezo mdogo? CCM wana lipi la kuiga kwa samaia? Divisheni sifuri plus tabia mbovu mbovu za maisha?
 
peleka uzushi na porojo zako nonsense kwenye chama chako gentleman :HAhaa:
 
Back
Top Bottom