Umechelewa sana kujua, hii serikali haramu haina tofauti na magenge ya kihalifu yanayopatikana kule Colombia na Mexico.
Baada ya kuangalia hii Documentary nimeamini hii Nchi inatawaliwa na mashetani.