State of Fear: Inside Tanzania's Enforced Disappearances - BBC Africa Eye Documentary

Repoti ya BBC inasikitisha.inaonesha madhara ya kuongozwa na wahuni.uzuri ni kuwa mmepata laana kwa sababu ya damu na uhuni kama ulawiti mliofanya.Mungu amesikia kilio na laana itawamaliza.
Tutaiangalia leo na kesho, tutai discuss mpaka Ijumaa. Then tutaanza na trending nyingine. Hii nayo itapita tu kama MO29. Tanzania bado ni mahali pazuri pa kuishi. Nyinyi mnaolipwa na Ford Foundation huko Nairobi kamwe hamuwezi kuharibu nchi yetu
 
Ni sawa mtu aumizwe na kudhalilishwa kwa kuikosoa serikali?
 
Gentleman,
sasa mtu kama wewe unaweza kweli kuikosoa serikali kweli zaidi ya kukurupuka kwa mihemko na kuporomosha matusi tu ambayo ni kito nonsense na useless kabisa?

maana hicho ndicho mlichofundishwa na chama chenu kinachofadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi na ndio maana mmebebwa ufala wa kifikra kirahisi tu na kufanywa magaidi na mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi :NoGodNo:
 
Tutaiangalia leo na kesho, tutai discuss mpaka Ijumaa. Then tutaanza na trending nyingine. Hii nayo itapita tu kama MO29. Tanzania bado ni mahali pazuri pa kuishi. Nyinyi mnaolipwa na Ford Foundation huko Nairobi kamwe hamuwezi kuharibu nchi yetu
Kwa mujibu wa machawa ni kwamba, Ford Foundation ndio walitoa amri watu wauwawe.
 
Chawa katika ubora wake.
 
Kwa mujibu wa machawa ni kwamba, Ford Foundation ndio walitoa amri watu wauwawe.
kwenye lawama kila mtu anamtupia mwenzake, hata walioandaa na kuhamasisha mo29 tulipowaambia wanaingiza watu kingi, hawakusikia la zaidi walisema kila kitu kipo tayari inasubiriwa mo29 tumepigiwa hadi mahesabu ya polisi wapo wangapi na hawatoshi. muuwaji wa kwanza ni mwanaharakati
 
Kwa mujibu wa machawa ni kwamba, Ford Foundation ndio walitoa amri watu wauwawe.
Huko ndiko pesa zimetoka na zikawafikia ring leaders wa maandamano kupitia kwa Maria Sarungi
 
Tutaiangalia leo na kesho, tutai discuss mpaka Ijumaa. Then tutaanza na trending nyingine. Hii nayo itapita tu kama MO29. Tanzania bado ni mahali pazuri pa kuishi. Nyinyi mnaolipwa na Ford Foundation huko Nairobi kamwe hamuwezi kuharibu nchi yetu
Pumbavu sana Ford foundation walitoa amri ya shoot to kill! Unaua mtu 10,000 halafu unadai yaliyopita si ndwele tugange yajayo---- nyambafu hadi mnye blue!
 
Repoti ya BBC inasikitisha.inaonesha madhara ya kuongozwa na wahuni.uzuri ni kuwa mmepata laana kwa sababu ya damu na uhuni kama ulawiti mliofanya.Mungu amesikia kilio na laana itawamaliza.
Uhuni walioufanya na wanaoendelea kuufanya hauisaidii nchi bali unaichafua sana. Aisee hivi huyo mafwele anajionaji kuongelewa vibaya namna hiyo??
 
Pumbavu sana Ford foundation walitoa amri ya shoot to kill! Unaua mtu 10,000 halafu unadai yaliyopita si ndwele tugange yajayo---- nyambafu hadi mnye blue!
Hao watu 10,000 uliowataja mbona ni wachache sana. Fanya walikufa 1,000,000 ndiyo iwe habari nzito.

Mbajiandikia tu habari za kuokoteza
 
Back
Top Bottom