State of Fear: Inside Tanzania's Enforced Disappearances - BBC Africa Eye Documentary

Nothing stay hidden forever!
 
Ifike mahali kuwe na jipya kwenye hizi report zenu za kila mwezi... Masikitiko gani mapya kwetu
Kwani masikitiko yana kikomo? Majitu ya hovyo utayajua tu. Ni ukichaa hata kukaa kimya wakati binadamu wenzako wanatendewa hayo.
Matendo mengine yanafanyika TZ yanaweza kufanywa tu na watu wasiostaarabika. Evil people

Mana aliyefiwa na mwanawe kuna siku anaacha kulia?
Kuna watu Wanainajisi nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…