Baada ya kuangalia hii Documentary nimeamini hii Nchi inatawaliwa na mashetani.
Kwa nini muandamane siku ya uchaguzi mkuu? Hizo ni fujoJe unafahamu kwamba maandamano ni haki kisheria na mlitarajia kwamba kila wakati muwe mnahujumu tu uchaguzi na watu wawe wanawasifia tu ujinga wenu.
Wewe acha uongo bwana, uchaguzi gani ulifanyika hiyo siku.Kwa nini muandamane siku ya uchaguzi mkuu? Hizo ni fujo
Si mlitaka kuvuruga mkaweza kwa baadhi ya vituo, lakini sehemu kubwa tulifanikiwa kufanya uchaguziWewe acha uongo bwana, uchaguzi gani ulifanyika hiyo siku.
Dunia nzima ilisema uchaguzi haukufanyika Tanzania hata AU, Sadc, EU, Commonwealth wote walikataa na sasa subiri uje uone madhara ya kutofanya uchaguzi.Si mlitaka kuvuruga mkaweza kwa baadhi ya vituo, lakini sehemu kubwa tulifanikiwa kufanya uchaguzi
Samia kisha iharibu hii nchi, unataka iharibiwe namna gani tena?Tutaiangalia leo na kesho, tutai discuss mpaka Ijumaa. Then tutaanza na trending nyingine. Hii nayo itapita tu kama MO29. Tanzania bado ni mahali pazuri pa kuishi. Nyinyi mnaolipwa na Ford Foundation huko Nairobi kamwe hamuwezi kuharibu nchi yetu
Si mlitaka kuvuruga mkaweza kwa baadhi ya vituo, lakini sehemu kubwa tulifanikiwa kufanya uchaguzi
Umechelewa sana kujua, hii serikali haramu haina tofauti na magenge ya kihalifu yanayopatikana kule Colombia na Mexico.
Good 👍RELAX AND CALM DOWN GENTLEMAN
Uchaguzi ulifanyika, kama wewe hukupiga kura shauri yako. Hao uliowataja ni waangalizi tu ambao wana agenda zao, hawawezi kutusubirisha sisiDunia nzima ilisema uchaguzi haukufanyika Tanzania hata AU, Sadc, EU, Commonwealth wote walikataa na sasa subiri uje uone madhara ya kutofanya uchaguzi.
Nchi iko imara kuliko mlivyopanga kuivuruga nyie Mbwakoko na mabwana zenu.Samia kisha iharibu hii nchi, unataka iharibiwe namna gani tena?
Fala ni wewe ambaye badala ya kwenda kupiga kura uliingia kwenye magenge ya uhalifu. Shukuru tu ulinusurika kupigwa risasiUchaguzi gani mliofanya wewe fala?
Kama alivyokuwa designated Ilya Ponomarev.CCM is designated as a terrorist organization!
Nincompoop!peleka uzushi na porojo zako nonsense kwenye chama chako gentleman
relaxNincompoop!
Kati kati ya wajinga unawezaje ku-relax!relax