Status WhatsApp yazua balaa kwa mume mwenye wake wawili

Ndio maana nikasema wamekutana Pipa na mifuniko,

Mwanaume anayejielewa hawezi kupost picha za wake zake sijui huko status,hayo ni mambo ya wavulana,

Anapost picha za wake zake ili nani aone? Kama sio ujinga ni nini zaidi? Akitombewa aanze kulalamika.
Ni sahihi kabisa,hapo ni sawa sawa na kumuandika mkeo for sale bila wewe kujua,wakati mwingine sisi wenyewe tunakaribisha fitina kwenye ndoa zetu
 
Aende kulala kwa Bi mdogo, wala asihangaile na mke mkubwa. Akiona haji kama anaijua thamani ya mume atamtafuta, akija kuhoji kulikoni amwambie si alisema asirudi kwake.

Yaani hata akiita viongozi wa dini akilalamika atalaumiwa mwenye makosa ni yeye.
 
Ni sahihi kabisa,hapo bimkubwa amezingua big time
 
Kwa upande mwingine mko sahihi, lakini binadamu tuna mapungufu, utaachana na wangapi?
Huwezi kuachana na kila mtu unless otherwise you are crazy, kuna mambo ambayo yakitokea inakuwa ni sababu ya kuachana,lakini si kila sababu ya kipuuzi mnaachana

Watu wasichukulie kwamba kuachana hovyo hovyo ni ruksa au inafaa,hapana.
 
Anyways, uko sahihi.. kikubwa iwe inakupa amani tu!
 
Nieleweshe mleta mada, ukiwa una wake wawili, mmoja akakwambia sirudi nyumbani si ndio unatokomea huko kwingine?

Kwanini siku ya jamaa yako ikageuka kuwa ngumu.
 
Huwezi kuachana na kila mtu unless otherwise you are crazy, kuna mambo ambayo yakitokea inakuwa ni sababu ya kuachana,lakini si kila sababu ya kipuuzi mnaachana

Watu wasichukulie kwamba kuachana hovyo hovyo ni ruksa au inafaa,hapana.

Ni sahihi kabisa,hapo bimkubwa amezingua big time
Kuna muda inabidi ujifunze kiburi na kutopelekeshwa heshima ndiyo inarudi... ila kama huyo mke ni mmeru asifanye hivyo
 
Back
Top Bottom