Status WhatsApp yazua balaa kwa mume mwenye wake wawili

Ha ha mie pia nina wake 2 lakini mambo ya hivi kwangu hakuna kabisa
 
Acha umbea mkuu.
 
mimi simo
Halafu nimeshakujua wewe ni mwanaume unajifanya mwanamke.

Na ukiendelea na ujinga wako naweka wazi jina na kazi unayofanya.

Kwanza wewe ni mwanaume na ni dereva.
 
Halafu nimeshakujua wewe ni mwanaume unajifanya mwanamke.

Na ukiendelea na ujinga wako naweka wazi jina na kazi unayofanya.

Kwanza wewe ni mwanaume na ni dereva.
Aww..😍

Afadhali umenigundua mapema!

Hebu nianike na wengine wanifahamu

Utakuwa umerahisisha sana hamu ya wengi!πŸ€ΈπŸ½β€β™€οΈ

Weka na details zangu hapo chini, kama na picha umepewa usisahau lols
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…