🤣🤣🤣Kama hukumuona pele akicheza, hukumuona tostao, hukuniona mimi uwanjani basi hujaona mpira
😂 😂
Pole kwa msibaNyie mnaoshangaa hao wanaoweka status (mwanandinga Pele) ndo waajabu. Hivi unawashwa nini na ushamba wa mtu mwingine, kwanza hujachangia bando lake, humjui na hata kama unamjua kwa nini uingilie starehe yake?
Tupaki umecheza mpira wapi babu ? Unatuvesha tuu🤣Kama hukumuona pele akicheza, hukumuona tostao, hukuniona mimi uwanjani basi hujaona mpira
😂 😂
msiba wa nani mkuuPole kwa msiba