Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Wajinga wengi wapo CCM, ndiyo maana CCM inashinda vijijini kuliko mjini.
Ustarabu mtu anajifunza toka akiwa mtoto mdogo, ndio maana ustarabu wa mtu unategemea na eneo alilokulia/analoishi!!! Mfano kwa dar, chukulia mtu anayeishi masaki/msasani na anayeishi magomeni /tandika na mbagala!!Tatizo ni Utunzaji. Watanzania si wastaarabu labda kwa fimbo
Siku mh.Ally Kessy mbunge wa Nkasi akiitisha Yale maandamano ya kutaka kumuongezea muda jembe Magufuli,wallahi ntaiacha kazi yangu ya kuuza AL KASUS niambatane naye insha Allah...Mhe. Rais Magufuli inatosha, wapinzani watakufa kwa presha jamani. Millard Ayo aimulika kila kona, angalia hapa. Kadi za CCM zipo kila shina, mwone kiongozi wa shina katika mtaa wako
SureNa hiyo stendi imejengwa ili wajinga waipigie kura CCM, hivi sasa wajinga bado wanaimba "Chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi......"
Ujinga ni zao la CCM kwa wasiojitambua
Kuna teuzi mpya? Maana nilisha teuliwa siku nyingiUmekaa kusakasaka teuzi
Mkuu
Ova
Vp umepewa u Das auKuna teuzi mpya? Maana nilisha teuliwa siku nyingi
Ulishawai fika mbele wewe
Hongera sana JPM hakika unastahili kuwa Raisi wa kudumu.
Magufuli aliwaruhusu kufanya biashara kama kawaida.Vipi wamachinga wanaruhusiwa kupanga bidhaa zao chini??
Tatizo tu ile Design ya Jengo iko very poor, jengo utadhani Ngome ya Yesu " Fort Jesus" sijapendezwa na muonekano wake kwakweli yaaani baaaaaaya hata yale magofu ya Misikiti ya Bagamoyo ya mwaka 1800 yanazidi hiyo Stendi ya HQ.
Naona wauza zabibu,pia wa vifaa vidogo vidogo vya umeme.Muonekano wa nje ni kama hanga la jeshi lakini kwa kweli ndani ni kuzuri.Tuje tuharibu wenyewe tuVipi wamachinga wanaruhusiwa kupanga bidhaa zao chini??
Tatizo tu ile Design ya Jengo iko very poor, jengo utadhani Ngome ya Yesu " Fort Jesus" sijapendezwa na muonekano wake kwakweli yaaani baaaaaaya hata yale magofu ya Misikiti ya Bagamoyo ya mwaka 1800 yanazidi hiyo Stendi ya HQ.
Ha ha ha inachekesha sana na hizi destructive criticismsTatizo tu ile Design ya Jengo iko very poor, jengo utadhani Ngome ya Yesu " Fort Jesus" sijapendezwa na muonekano wake kwakweli yaaani baaaaaaya hata yale magofu ya Misikiti ya Bagamoyo ya mwaka 1800 yanazidi hiyo Stendi ya HQ.
Dodoma, Iringa na Kibaha Ovyooooo kabisa hizo Bilioni zimeenda bureKabisa mkuu ile design ni kituko sana. Halafu wao wanadai inashindana na airport sijui ya wapi-total nonsense. Dodoma na Iringa bus stand wamehemka sana aibu tupu. Si heri wangejenga simple kama ya Songea tujue moja?