Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma ni kama airport za mbele, Rais Magufuli afanya kweli

Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma ni kama airport za mbele, Rais Magufuli afanya kweli

Tatizo ni Utunzaji. Watanzania si wastaarabu labda kwa fimbo
Ustarabu mtu anajifunza toka akiwa mtoto mdogo, ndio maana ustarabu wa mtu unategemea na eneo alilokulia/analoishi!!! Mfano kwa dar, chukulia mtu anayeishi masaki/msasani na anayeishi magomeni /tandika na mbagala!!
 
Mhe. Rais Magufuli inatosha, wapinzani watakufa kwa presha jamani. Millard Ayo aimulika kila kona, angalia hapa. Kadi za CCM zipo kila shina, mwone kiongozi wa shina katika mtaa wako

Siku mh.Ally Kessy mbunge wa Nkasi akiitisha Yale maandamano ya kutaka kumuongezea muda jembe Magufuli,wallahi ntaiacha kazi yangu ya kuuza AL KASUS niambatane naye insha Allah...
Nani ASIYETAKA kuliona linchi letu linawakawaka namna hii?!!!!
Yaani UTANZANIA WA KWELI umerudishwa na magufuli.
 
Nimefika kwenye ile stendi leo,kwakweli kazi imefanyika,kama umewahi kwenda kwenye airport kubwa kubwa unaweza kujihisi uko airport,ni nzuri sana,big up Magufuli,katika uongozi wowote hata nyumbani kwako sometimes you have to be aggressive ili mambo yaende...
 
Hongera mno kwa serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli.Stand ni nzuri mno na imepangwa ikapangika.Kuna waiting lounge za kutosha,ofice za wakata ticket za kutosha.HONGERA nyingi mno.

Naomba uendeshaji au management iwe ya kisasa zaidi kama kilivyo kituo chenyewe,kwa mfano sasa hivi unapigwa muziki kama wa ndani ya baa ya kangara kiasi ambacho huwezi hata kuongea na simu.Hili linakipunguzia hadhi kituo.
 
Tatizo tu ile Design ya Jengo iko very poor, jengo utadhani Ngome ya Yesu " Fort Jesus" sijapendezwa na muonekano wake kwakweli yaaani baaaaaaya hata yale magofu ya Misikiti ya Bagamoyo ya mwaka 1800 yanazidi hiyo Stendi ya HQ.
 
Kabisa mkuu ile design ni kituko sana. Halafu wao wanadai inashindana na airport sijui ya wapi-total nonsense. Dodoma na Iringa bus stand wamechemka sana aibu tupu. Si heri wangejenga simple kama ya Songea tujue moja?
 
Vipi wamachinga wanaruhusiwa kupanga bidhaa zao chini??
Naona wauza zabibu,pia wa vifaa vidogo vidogo vya umeme.Muonekano wa nje ni kama hanga la jeshi lakini kwa kweli ndani ni kuzuri.Tuje tuharibu wenyewe tu
 
Tatizo tu ile Design ya Jengo iko very poor, jengo utadhani Ngome ya Yesu " Fort Jesus" sijapendezwa na muonekano wake kwakweli yaaani baaaaaaya hata yale magofu ya Misikiti ya Bagamoyo ya mwaka 1800 yanazidi hiyo Stendi ya HQ.

Asante Sana kulisema Hili...nilishajisemea moyoni mbona design sijaupenda! Ya ajabu balaa...mbayaaa! Kwakweli designer amechemka!msamvu bado iko juu
 
Tatizo tu ile Design ya Jengo iko very poor, jengo utadhani Ngome ya Yesu " Fort Jesus" sijapendezwa na muonekano wake kwakweli yaaani baaaaaaya hata yale magofu ya Misikiti ya Bagamoyo ya mwaka 1800 yanazidi hiyo Stendi ya HQ.
Ha ha ha inachekesha sana na hizi destructive criticisms
 
Kabisa mkuu ile design ni kituko sana. Halafu wao wanadai inashindana na airport sijui ya wapi-total nonsense. Dodoma na Iringa bus stand wamehemka sana aibu tupu. Si heri wangejenga simple kama ya Songea tujue moja?
Dodoma, Iringa na Kibaha Ovyooooo kabisa hizo Bilioni zimeenda bure
 
Back
Top Bottom