Stendi ya mabasi ya mikoani Ubungo kuhamishwa kupisha kituo cha mabasi ya Mwendo Kasi

Stendi ya mabasi ya mikoani Ubungo kuhamishwa kupisha kituo cha mabasi ya Mwendo Kasi

Kwa kiasi kikubwa nashukuru tunapeana moyo.
 
Huo mradi wa UDART si ni wa mtu binafsi kwa nini serikali inasumbuka hivyo? Mmiliki wa hayo magari si ni Kisena kwa nini asitafute mahala pa kuyaweka yaani kodi yetu ndo inamnufaisha muwekezaji why this? Au mimi ndio sielewi mnieleweshe wadau
 
Yaani hata mie sielewi kama wewe,
Wakati serikali inaumiza kichwa ku rescue haya Mabas, perhaps Kisena mwenyewe yuko ofisini miguu juu ya meza anahesabu tu faida.

Nilidhani serikali inamiliki barabara hivyo ingechunga tu barabara zake zisiharibike, Ma bus ya kisena yanayahusu vipi serikali?
 
Hii ni nchi ya maajabu sana anyway ngoja tuone sinema linavyoenda!!
 
Kuhamisha iyo stand mbezi halafu UBT ikawa stand ya UDART sio swalaa hayaa wakisha maliza kupanua huo MTO wanarud palepale jangwani au huo MTO wana upanua ili iweje??
 
Ni kama saiz wanavyo ambiwa mandege sio tija ila wanakomaaa kweli kuaminisha watu ni Tija yakibuma watasema tumeamua kuyauza tununue meli za dar usa kuleta wtalii wengi zaid maana inaonekana wazungu wanapenda maji!!!

Hatujielewi sie!!!
 
Me wa mwakaleli kandete nipo najisomea tu comment apa!!!!
 
Mkuu wwe huoni kuna mianya inatengenezwa hapo watu waishi
Jiulize ujenzi wa huu mradi ulianza lini
Hawakuwa na uchambuz yakinifu juu ya eneo la jangwani
Nani aliizinisha ujengaji wa yard bila kufata ushauri

Hizi ni janja janja za upotevu wa pesa
Sawa kabisa hiyo ndio nchi yetu!!! Nasikia kama kulia...Mafuriko Jangwani yapo miaka na miaka Mwendokasi umekuja juzi tu lakini katika sehemu zote wakaona Jangwani!! Mi mara ya kwanza nilidhani watakuja na utatuzi kuhusu mafuriko ndio maana walikuwa wanajenga pale!!! Fikiria serikali ilikuwa inapiga kelele watu wahamishwe sababu ya mafuriko halafu wanaweka mradi wa mabilioni pale pale!!! Jamani hivyo whats wrong with us...???!!! Na sijasikia lolote kuhusu hili yaani tunachekesha sana...nina hamu sana kujua mabalozi wa nchi za nje wanapeleka ripoti gani kuhusu utendaji na mipango ya serikali zetu huko kwao. Hata siku moja tusiwalaumu wazungu kwa kututia utumwani na kututawala. TUNA MATATIZO SANA... Bora yetu ni kama hii awamu ya tano ambayo ndio hiyo inaangalia tu mradi kama huu wa Jangwani. Hivyo kuna mtu aliewajibika kweli....???!!!
 
Unaweza kujenga kitu sehemu sahihi lakin natural calamities huwez kuzikwepa kama ikitokea zikaja tofaut hata huko ma mbele wanahangaika na haya majanga
Mpuuzi wewe umeona wapi watu wanaenda kujenga bondeni sehemu so prone na mafuriko halafu unasema natural calamities wakati unazifuata mwenyewe. Huko mbele wapi hebu wacha ujinga attitude kama hizo ndio hatutapiga hatua kamwe, tuanze kuuheshimu ukweli. Tukidhani tutaishi kwa bla bla bla hata siku moja hatutapiga hatua. Ukweli ukiupuuza utalipa tu!!! Hebu tufikirie vizazi vyetu vya kesho vije tena kuishi maisha haya ya kuomba omba na kudharauliwa sababu sisi tulidhani tunaweza kupuuza ukweli kwa manufaa rahisi....
 
Mpuuzi baba yako kakupeleka shule bila kukupa maarifa ya nini maana ya mijadala kwa hiyo kila akiona wazo tofaut na lile unalotaka wewe hubeba matusi kenge maji wewe
 
Ushauri mzuri pia, lakini kama nguvu ya kujenga hizo stand Temeke, Kibaha na Tegeta zikiunganishwa na kuweka barabara za uhakika kutokea hapo Mbezi itakuwa imetatua kero nyingi kwa wakati mmoja
Kweli hayo mabilioni ya pesa eti ya stand ni upotevu wa pesa usio na tija,bilioni 50 ni km 8 za njia sita sasa hii inatija kuliko huo upuuzi,ccm ni zero kabisa
 
Mpuuzi baba yako kakupeleka shule bila kukupa maarifa ya nini maana ya mijadala kwa hiyo kila akiona wazo tofaut na lile unalotaka wewe hubeba matusi kenge maji wewe
Mkuu,
mawazo tofauti hayawezi kuwa ni kutetea uovu na matumizi mabovu ya kodi za wananchi huku wengi wao wakiwa ni masikini mno wasioweza kupata hata mlo mmoja kwa siku.

Inatia hasira sana, inahuzunisha mno!
kuona watu tuliowapa dhamana wanafanya mambo ya fedheha kiasi hiki halafu kuna watanzania wenzetu wanawatetea, hii ndio sababu wanaendelea kufanya ushenzi kila kukicha, wanajua kuna watu watasema ni "mipango ya Mungu"

Kujikita kujibu hoja kwa kujificha nyuma ya mwamvuli wa shule na ujuaji wa mijadala ni kutoitendea haki taaluma yako, jamii yako na nchi yako.
Tunachokisema hapa ni kwamba

HILI JAMBO LILIFANYIKA KWA MAKUSUDI WAKIWA WANAJUA KITAKACHOTOKEA NA KINACHOTOKEA KILA MWAKA ENEO LA JANGWANI.
 
Hakuna mahali nilipotetea ila nimeunga mkono stend kutolewa pale magar yangeendelea kuharibika hata tukipiga kelele sioni serikali ya ccm ikichukua hatua
 
stand ya ubungo ina ekari ngapi hadi hiyo ya mbezi kuwa ekari 24?? kwa Tz ya sasa ekari 24 hazitoshi maana kila. cku hali inabadilika na watu wanaongezeka
 
Bado ni upotevu wa kodi zetu
stand ya ubungo ina ekari ngapi hadi hiyo ya mbezi kuwa ekari 24?? kwa Tz ya sasa ekari 24 hazitoshi maana kila. cku hali inabadilika na watu wanaongezeka wangetenga hata ekari 100 baadae zingepata matumizi maana sio. kila cku kulipa fidia tuu
 
Back
Top Bottom