rajabkisauti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 566
- 316
Kufa Na kunya ni ishara Safi ya kuwepo kwa muumbaMungu angekuwepo,(mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) tusingekunya wala kufa.
Tunakunya na kufa kwa sababu Mungu hayupo.
Unaelewa hilo?
If you want to nitpick anything to death, you can equally go on an endless merry-go-round.This issue will continue to be an endless merry-go-round of the same 'ol same 'ol until it is conclusively settled, once and for all.
It is the world's greatest mystery, as far as I'm concerned.
Ulimwengu wowote ambao mtu anaweza kuhoji chochote cha Mungu, hauna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.na tungekuwa hatunyi/hatufi
Bila Shaka ungekuja na hoja kuwa mbona hatunyi/hatufi
Ndugu yangu
nyie wote non believers hamnaga hoja zaidi ya kusema
ooh mbona hakuna perfection
mara mbona hajitokezi
tatizo lako unataka hoja zako ndizo zionekane
"MUNGU ni mwema na anapenda wampendao,na wote wamtafutao kwa bidii HAKIKA watamwona"
sasa kama wewe hutaki kumatafuta MUNGU unadhani utamwona wapi??!
lakini ndugu shetani amekamata ufahamu wako
Na mbaya ZAIDI unadhani huo ni Utashi na Akili yako.
Hahaha mzeee excuse accepted. Mkwanja ni muhimu sana. Hongera kwa kufanikisha.
Majibu yako;
1. Kunya ni tendo la kutoa waste product. Sahihi kabisa. Hapo maana yake ni kwamba mwili unafanya tendo la kujisafisha baada ya kuchakata nutrients na kubakisha zile muhimu and needed for the body. Isn't that glorious?! Kuhusu maradhi yatokanayo na kinyesi - hiyo ni kulingana na mazingira. Kinyesi ni product nzuri sana, endapo kitazagaa ovyo huenda kikaleta usumbufu (soma maradhi), lakini umeshafikiria faida yake endapo kitawekwa kwenye matumizi sahihi mfano kuzalishia biogas, mbolea n.k.? Mungu fundi sana boss.
2. Tendo la kufa huleta huzuni na kutenganisha wapendanao. Naam, nalo umenena vyema kabisa. Lakini kwa kuwa tunazungumzia mambo ya kiroho, tendo hilo kwa waaminio linaleta huzuni ya muda ila faraja yake ni ya milele. Na hiyo ni kwa sababu, kufa ni njia ya kwenda kwa Muumba ambako huko kuna makazi na makutano ya kudumu. Kwa kuwa hiyo ni njia ya wote, basi tumaini la kweli ni kwamba wapendanao wote watakutana huko na Mola wao kuishi na kufurahia. Kisayansi, mwili wa kiumbe hai uliokufa una faida nyingi sana kwenye ardhi. Mambo ya natural recycling, Zisome baadhi hapa Why burying loved ones in unmarked graves could save wildlife
Halafu, uamuzi wa Mungu kuumba kifo na ufufuo ni alama tosha ya kuonesha UWEZO NA UKUU alionao Bwana Mkubwa.
Yupo kweli. Sio hadithi tu!
1. Engineering ya Mungu imefanyika kwa mahesabu ya interdependence kati ya creatures na nature.. Ndio maana hata ukitazama ecosystem unaona chain ilivyo kimkakati - au huo nao utauita udhaifu?Hata hujaelwa point yangu.
Hujaelewa hujaelewa hujaelewa.
Thermodinamically, in engineering, systemic waste ni failure in efficiency. Unaelewa hili?
100% efficient system haina waste product, unaelewa hili?
Mungu alishindwa kutengeneza mwili ulio 100% efficient?
Unaweza kuthibitisha roho, pepo, Mungu vipo?
Unahalalisha uongo mmoja kwa uongo mwingine.
Mungu alishindwa kutupa bata hapa duniani? Kwa nini unahamisha mjadala uende kwenye habari za makazi ya kudumu ambayo huwezi kuthibitisha wakati swali langu si la makazi ya kudumu, ni la hapa duniani. Mimi sikubali kwamba kuna pepo. Habari za pepo ni uongo.
Unaweza kuthibitisha pepo ipo?
Mazee.another theory like " the big bang " , Hawking was angry at God for not healing him, for letting his wife be taken, for ruining his family that's why he endlessly argued there is no God. And he knew some gullible earthians will play along. He was an angry crippled Englishman. He knew by confusing you with physics mumbo jumbo you'll end up denying God's existence. That's another theory, since we can't prove there was actually the big bang.
1. Engineering ya Mungu imefanyika kwa mahesabu ya interdependence kati ya creatures na nature.. Ndio maana hata ukitazama ecosystem unaona chain ilivyo kimkakati - au huo nao utauita udhaifu?.
2. Labda useme tu unahitaji uthibitisho gani. Mungu yupo kupitia ishara zake. Kwa mfano, tazama yale madhara yanayoshindikana tiba hospitalini lakini yanaponyeka kwa kutumia neno la Mungu.
Hujawahi kushuhudia miracles zozote ambazo hata kisayansi ni ngumu kuthibitika? Mfano, hujawahi kuona Mtu anapandisha mashetani na kumudu kuongea kwa ufasaha lugha ambayo hana hata ujuzi nayo?
Kama bado, Mungu akujaalie Siku ukutane na miracle yoyote maybe it will change your way of thinking mzee baba..
Mungu angekuwepo, kungekuwa hakuna entropic increase in the world, global warming, pandemics, earthquakes, tsunamis, desertification visingekuwepo.
Mungu angekuwepo, ecosystem isingekuwa na food chain ya mwenye nguvu kumla asiye na nguvu, hiyo ni injustice kwa asiye na Mungu, inakuwaje Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aweke ecosystem isiyo na justice kwa asiye na nguvu?
Hospitali kuwepo ni ushahidi Mungu hayupo. Mungu angekuwepo, kungekuwa hakuna hospitali, kwa sababu kungekuwa hakuna ugonjwa.
Unamsifia Mungu kwa kutibu ugonjwa wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao ugonjwa hauwezekani kuwepo?
Unamsifia mwizi kaiba mabilioni, unasema ni mtakatifu sana, eti kwa sababu karudisha mia aliyoiba (ambayo ataiiba tena).
Yale mabilioni ambayo hajarudisha vipi?Wwale mabilioni waliokufa vipi? Na huyo aliyepona hatakufa?
Huyo Mungu yupo au hadithi tu?
Miracle ni nini? Vitu vingi tusivyovielewa tunaviita miracles, maana yake hatuvielewi, hilo halithibitishi Mungu yupo.
Mababu zetu waliamini Wazungu ni miungu, kwa sababu wanatabiri jua kupatwa, wana gramophone zinatoa muziki bila mtu kupiga ala.
Wwaliona muujiza. Sasa hilo lilimaanisha kutabiri kupatwa kwa jua na gramophone kupiga muziki ni muujiza? Hayo yalithibitisha Mungu yupo?
Thibitisha Mungu yupo kwanza.
Mungu mbona anajidhibitisha kwa yote yale?!Ulimwengu wowote ambao mtu anaweza kuhoji chochote cha Mungu, hauna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Mungu huyo anatakiwa awe so cool kiasi kwamba, anakupa majibu ya maswali yote unayoweza kuyafikiria na kupaswa kuyafahamu kabla hujahoji, na usiyopaswa kuyafahamu anakuficha usiweze hata kuyahoji.
Mungu huyo kukupa maswali ambayo huna majibu yake ni emotional abuse.
Mungu wenu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote anafanya emotional abuse?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Logical fallacy of wrong oversimplification. Unalazimisha.kama hujanielewa usinge ni quote
kama ume quote na kunijibu it's seems umeelewa namzungumzia nani
Hujathibitisha Mungu hayupo.na tungekuwa hatunyi/hatufi
Bila Shaka ungekuja na hoja kuwa mbona hatunyi/hatufi
Ndugu yangu
nyie wote non believers hamnaga hoja zaidi ya kusema
ooh mbona hakuna perfection
mara mbona hajitokezi
tatizo lako unataka hoja zako ndizo zionekane
"MUNGU ni mwema na anapenda wampendao,na wote wamtafutao kwa bidii HAKIKA watamwona"
sasa kama wewe hutaki kumatafuta MUNGU unadhani utamwona wapi??!
lakini ndugu shetani amekamata ufahamu wako
Na mbaya ZAIDI unadhani huo ni Utashi na Akili yako.
Kiranga,yours is the old tool of a defensive idealist,What I see here is not a competent opponent,I rather see a humble believer who is somewhat skeptical.Here me when I tell you this,Nature of Reality is subjective but the truth as much as we may all wish can never be subjective it will always be objective.The existence of God can not be refuted by an inability to prove his existence for we the enquirers exist within the same realm of Gods Existence and we are therefore a part of His being.If by affirming our existence and attributing it to some scientific explanation which only fits our current reality we believe we can challenge the proponents of Gods existence then we are surviving on a weak logic as intellectuals.We must acknowledge our limitation in comprehending his existence and from there seek not to prove his existence but to acknowledge his existence.
Thibitisha Mungu yupo.Ndo mana muhubiri alisema kila jambo na wakati wake. Sasa wewe katika umri wa miaka 19 ukaanza kusoma mavitu ya juu kabisa kuzidi uwezo wako wa kufikiri, ona sasa madhara yake yanavyokusumbua na kukutesa nafsi yako huku ukubwani.
Ulikuwa hujakomaa kiroho ndo mana ukawa mwepesi kupigwa zongo na ibirisi uamini anachotaka yeye uamini na kweli ukaamini, Pole sana mzee.