Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Kiranga yeye anachohitaji kutoka kwenu ni mjibu swali moja tu:Kama dunia imeumbwa na Mungu ambae ni mjuzi wa yote, mwenye huruma yote, muelewa wa yote,kwa nini hakuna perfection humu duniani?
 
Kumbe ni Theory.
 
Yaani nayeye kashikiwa akili.
 
As far as I'm concerned, he was just guessing.

No one knows for sure where we come from or how the universe was created.
I think this is a blunt scepticism because you cannot easily claim that Hawking's assertions are mere guessing.

In this regard it is better to take the advice of Neil deGrasse Tyson who said that it is better to evaluate how compelling the evidence is to us rather than blindly following it or dismissing it.
 
point ya kiranga ni kwamba hamuwezi kuthibitisha mungu aliumba the universe
 
Yaani nayeye kashikiwa akili.
Wewe kama akili yako iko huru na haijashikiliwa tuambie kama dunia imeumbwa na Mungu ambae ni mjuzi wa yote, mwenye huruma yote, muelewa wa yote,kwa nini hakuna perfection humu duniani?.....Yaani kuna magonjwa, vita, kuonewa, kudhulumiwa, vimbunga, tsunami, ufisadi, utekaji, kufa,baada ya kufa kuna moto, ubakaji e. t. c?....ina maana huyo Mungu mjuzi wa vyote na mwenye huruma yote ameshindwa kuzuia haya yasitokee???!
 
Stephen Hawking kwako ni nani Brother?
 
What if he said he is the God?
What would be your stand?
My point was, either he was the first, second or last (you may be in) , he had nothing to do to believers!
 
Huyo ni Kiranga (non believer)
Yeye husema anataka kutibitisha siyo kuamini. Mimi naamini mwisho wa uwezo wa kuelezea chanzo cha ulimwengu kwa mtu kama hawking ndiyo mwanzo wa jibu la fumbo la uwepo wa Mungu lakini huwezi kumtibitisha Mungu kama wanavyotaka watu kama kiranga.

Hapa juu ktk article tunaona Hawking anasema inawezekana kuwa Mungu alitengeneza mfumo unaoweza kujiendesha wenyewe kisha akakaa pembeni akiutizama ukijiendesha. Sasa mimi nikiamini dhana hii ambayo tulikuwa tunaiamini tika zamani kosa langu litakuwa wapi while hata Hawking ame assert hii belief. Ukiipinga hii unatakiwa uje na hiyo ya kisayansi inayoeleza vizuri chimbuko la ulimwengu bila kuonesha super being somewhere hapo ndo tuzungumze. Lakini mpaka sasa sayansi imeshindwa kutoa majibu mujarabu, wengi wanaishia ktk bing bang theory lakini what banged hailezeki na mpaka sasa imekosa kuthibitika.
 
Hayo unayogawekea hoja, ni maagizo yake Mungu
Mungu angekuwepo,(mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) tusingekunya wala kufa.

Tunakunya na kufa kwa sababu Mungu hayupo.

Unaelewa hilo?
 
Enhee leo ngoja namimi ni put my two cents on this kontravesho matter.Im in the mood to argue and learn stuff.Mimi bwana tukiweka dini pembeni naamini kuwa kila kitu kina dizaina na mtengenezaji.hata wale wasioamini uwepo wa mungu ukimwambia kua hili jengo au hili gari limetokea to out of nowhere hawezi kukubali.Sasa how come the universe which we are a part of with all its complexities and sophisticated systems be just an accident or come outa thin air.haya basi mnipe mifano ya systems ama scenario nyengine inayofanana na hii theory yetu ya designer less creation.

Unataka kuniambia binadamu the most advanced and most intelligent living thing on earth has no architect?,u tellin me that the human body with the most advanced and dynamic movement mechanism has no architect or inventor but the four wheel drive in your car has?,no architect behind the eye,the nerve system,the human brain,the digestion system and all other sophisticated systems in the human body but you damn well know and believe that somebody invented/created/engeneered a camera,the personal computer,the engine etc
I know that yall will pull out the evolution card trying to explain how the homo sapiens come to be from a cell that spent a million years of evolutiom evolving from one thing to another then to chimps then eurekaa!!! "its a human being ladies and gentleman,you can see that science got all the answers",thats fine and all but how many other instenses that you can name that produced the same results or better ones that we can use to justify our lovely theory?.survival of the fittest eeh?.
 
Ngumu kumesa mi kwa kweli sijui kama yupo au hayupo ila naamini Mimi nipo!
 
Watu wote wanaomkashifu Mungu hufa vifo vibaya. So mnaona aliishia kukaa kwenye kiti ka palalaiz hiyo sayansi iliweza kumtibu?
 
Kiranga yeye anachohitaji kutoka kwenu ni mjibu swali moja tu:Kama dunia imeumbwa na Mungu ambae ni mjuzi wa yote, mwenye huruma yote, muelewa wa yote,kwa nini hakuna perfection humu duniani?
Kulitakiwa kua na perfection?kwa nini?na hio perfection ni katika kitu gani hasa?labda tuanzie huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…