Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Vitabu gani??.....Yaani nipoteze muda wangu kwenye vitabu vinavyodai kuwa Mungu ni mjuzi wa yote wakati ameshindwa kuumba dunia ambayo haina magonjwa, ubakaji, vimbunga, ajali, tsunami, njaa e. t. c??!.... Cha msingi hapa thibitisha kuwa Mungu yupo ili uokoe wengi kwenye hili janga la Kiranga la kuburuza watu!!JE ULISHATAFUTA MAJIBU YA MASWALI YAKO KUTOKA KWENYE HIVYO VITABU ULIVYOSOMA, MAANA MFANO HIYO MATAYO HAIANZII 5:48. JE MWANZO WAKE UMESHAUSOMA?
Kiranga anapowashinda watu kwenye hii issue ya kwamba hakuna Mungu ni pale watu wanaposhindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu na Kiranga anatumia very simple Philosophy kama vile laws of contradictions na laws of consistency kukamata watu masikio yao na kuwaburuza anavyotaka, ila inauma sana pale unapoamini kuwa Mungu yupo halafu unashindwa kuthibitisha![emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa hiyo mkuu ukiingia kwenye mtihani ukaulizwa thibitisha kuwa Tanzania ni Taifa huru utamgonga maswali aliekupa mtihani kama unavyonigonga maswali mimi kuwa uthibitishe kivipi??![emoji3][emoji3][emoji3]Wewe unataka uthibitishiwe kwa namna ipi?
Kama vile kuthibitishiwa uwepo gari ndo uthibitishiwe uwepo wa Mungu?
Au kama vile uwepo wa Akili ndo uthibitishiwe uwepo wa Mungu?
Uthibitishiwe kwa namna gani yaani labda?
Hahahaaa.This is the part i have liked the most """" Because the universe also began as a singularity, time itself could not have existed before the Big Bang. Hawking's answer, then, to what happened before the Big Bang is, "there was no time
before the Big Bang."""" "
This is a circular argument.God exists but not in a comprehensible form.If God becomes comprehensible then he is not God in his entirety.It is therefore logical to say that human mind has no ability to comprehend the existence of God rather we can only comprehend our own existence to a limited degree.We therefore are correct if we say God does not exist within the limits of our own understanding.
HILI NDIO JIBU NILILOKUWA NALIHITAJI. HUNA HOJA ZAIDI YA KUJIFICHA NYUMA YA MGONGO WA KIRANGA.Vitabu gani??.....Yaani nipoteze muda wangu kwenye vitabu vinavyodai kuwa Mungu ni mjuzi wa yote wakati ameshindwa kuumba dunia ambayo haina magonjwa, ubakaji, vimbunga, ajali, tsunami, njaa e. t. c??!.... Cha msingi hapa thibitisha kuwa Mungu yupo ili uokoe wengi kwenye hili janga la Kiranga la kuburuza watu!!
Thibitisha kuwa Mungu yupo kwanza kwa sababu hicho ndicho kiini cha uzi huu!HILI NDIO JIBU NILILOKUWA NALIHITAJI. HUNA HOJA ZAIDI YA KUJIFICHA NYUMA YA MGONGO WA KIRANGA.
DHIBITISHA KAMA MUNGU HAYUPO.Thibitisha kuwa Mungu yupo kwanza kwa sababu hicho ndicho kiini cha uzi huu!
Kwa sababu hakuna Mungu.Kama hakuna Mungu na tumetokea kwenye evolution kwanini kuna race tofauti?
Mungu hayupo kwa sababu Mungu anaeaminika na wewe kuwa ni mjuzi wa yote, mwenye upendo wote,mwenye huruma yote na mkamilifu asingeruhusu dunia ambayo mabaya yanawezekana!DHIBITISHA KAMA MUNGU HAYUPO.
Kabla ya yote, thibitisha Mungu yupo.Kwanza ww naona huamin km Mungu yupo?hivi ww unaupima uwezo wa Mungu hapo ulipo ni kwa neema za Mungu tu na endelea kuwaamini hao machizi wanaoona mtu alie tengeneza mti wa muembe ujue ni wakati upi uzae na upime kiasi cha sukari ktk matunda yake ni mpuuzi.Kama vitu hivi tuvitumiavo vina wangunduzi ila inapofika kwa binadam unasema hakuumbwa alitokea tu sijui na upupu wa bing bang theory aghaaaa
Kabla ya yote, thibitisha Mungu yupo.
Hivi ipo miujiza zaidi ya kuzuia dunia nzima na uzito wake ipoteze mwelekeo na kuondoka kwenye mzunguko off tangent?Watadai ni force of gravity lakini ajabu ni kuwa force hiyo haina nguvu ya kutenda miujiza
As far as I'm concerned, he was just guessing.
No one knows for sure where we come from or how the universe was created.
UNARUDI PALE PALE. MATAYO 5:48 KISHA UNAJIONA GENIUS.Mungu hayupo kwa sababu Mungu anaeaminika na wewe kuwa ni mjuzi wa yote, mwenye upendo wote,mwenye huruma yote na mkamilifu asingeruhusu dunia ambayo mabaya yanawezekana!
Swali langu hujajibu mkuu!...Nilikuuliza thibitisha kuwa Mungu yupo!UNARUDI PALE PALE. MATAYO 5:48 KISHA UNAJIONA GENIUS.
YAANI NI SAWA NA MTU ALIYEKUWA KIPOFU AKAFNIKWA KUMUONA PUNDA KISHA AKARUDI KUWA KIPOFU, KWAHIYO KILA KITU UKIMWAMBIA YEYE ATAULIZA KAMA KINAFANANA NA PUNDA MAANDA NDIO PEKEE ALICHOKIONA.
tatizo pia hasemi iliumbwa na nanipoint ya kiranga ni kwamba hamuwezi kuthibitisha mungu aliumba the universe