Stephen Membe aiteka Mtama, Nape amuomba Rais Samia kuokoa jahazi

Wamehama wengi waliolelewa na vyama vyao, hana kosa. Ninachojiuliza kumbe mbio za 2025 zishaanza tayari?
Naona bado muda upo kwa yeyote anayehis wananchi wake wamemchoka, arekebishe hali kwa kutekeleza aliyoahidi
Ishu ni kuhama huyo tutapambana nae ni mjinga sana
 
BTW
Nape alijipambanua wazi wszi kufufahia kifo cha rais awamu ya 5 akiamini anauteka umma wa Tanzania.

Amesahau kuwa, marehemu hatetwi Afrika. Awe mbaya au mzuri lakini ya kwake yameenda na hatorudi tena kuyarekebisha. Lakini CCM chini ya Damia waliamua kubeza kazi ya Mungu ya kumpa na kutoa uhai wa mtu kwa kuimba sifa za marehemu ambapo haisaidii kwenye hukumu mbele za Mungu.

Wenye kuyaelewa haya mambo walishaliona anguko halipo mbali. Pia ikumbukwe kauli aliyoitoa Anne Semamba Makinda kuwa uchaguzi wa 2025 utakuwa ni kupiga kura baina ya miamba 2 ambayo ni CCM vs Magufuli.

Wao waendelee kuwaamini mbeleko ya vyombo vya usalama lakini sisi wenye nchi tumeshakata shauri kuwa CCM must Go. Watatuua lakini tumeshapanda mbegu kwenye jamii na inachipua kwa kasi sana kwa faida ya Tanzania

Zingatieni maangalizo.
 
Bora
 
Mkakati wa Nape huo. Chadema mtaingia mkenge anakuja kujitoa mwishoni huyo.
 
Nape akibwagwa nitafurahi maana ni mchumia tumbo tu kwenye siasa. Amejaa unafiki sana. Siku zote naunga mkono wenye msimamo kiitikadi kujali maslahi ya umma kwanza. Kumchukia na kumkejeli mwanamapinduzi magufuli ni kosa binafsi sitamsamehe maana alipoomba msamaha kwa magufuli ilikua usanii tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…