Stephen Membe aiteka Mtama, Nape amuomba Rais Samia kuokoa jahazi

Uko kama mimi kimsimamo mkuu!
 
Yani rais aje huko sababu ya Nape? Hqmna shughuli nyinyi
Je! Unaujua umuhimu wa Nape kwenye Deal za Samia?
Unaujua umuhimu wa Nape kwenye kampeni na ushawishi ndani ya CCM wanapoingia kwenye harakati za ndani ya chama chao?
Kwako wewe Rais ni nani hata asiguswe na kupoteza jimbo kwa chama chake ambacho pia ni mwenyekiti wake.

Humu ndani tunashea na baadhi ya wapuuzi msiojua kinachoendelea ila mnaona raha k7chezea simu zenu.
 
Angekua na huo ushawishi chama kisingewafia mkononi 2015 yeye na JK..

Angekuwa na huo ushawishi wanachama wasingepopolewa mawe walipokuwa wakivaa nguo za ccm ye akiwa mwenezi.

Nape hanaga ushawishi wowote kisiasa..ndii maana juzi kati kabla hajapata nafasi aliandaa hitma ya kumkumbuka baba yake ili aonekane kwe ye teuzi na toka alipopewa teuzi hajafanya tena hitma.

Yaani anaishi kwa kivuli tu ila hana ushawishi wowote kisiasa wala kiuongozi. Yeye na Januari.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 

Mbuzi kweli wewe, huna facts yeyote.
 
😀 mwanasiasa mzuri sana wewe, unatishia na unamtahadharisha nape then unatoa hadi ushauri ccm wafanyaje kumdhibiti huyo membe wa chadema.
 
Kma
Kama tatizo ni kuhamia Dar,si atajenga nyumba na kuwepo Jimboni muda mwingi.
Vilevile ikumbukwe kuwa huko vijijini Chadema bado haijasambaa.
 
CCMwatatumia MBINU za 2020 kuwa fomu ya Membe imekosewa na imeletwa saa 12 jioni badala ya saa 10 na hivyo Nape amepita bila kupingwa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Membe amejiunga na Chadema na tayari anatarajia kufanya ziara Jimbo zima la Mtama kila Kijiji kusalimia wazee wa Kimwera walioudhika na uongozi wa Nape uliohamia Dar es salaam badala ya Mtama. [emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maoni yangu naweza kusema kama kweli ameenda CHADEMA, basi kilichoplekea aahamie huko ni ule umahiri wa NAPE ndani ya CCM. Amejua fika kuwa kama ikitokea wakachuana na NAPE ndani ya CCM, uwezekano wa yeye kutoboa haupo na hivyo solution ikawa ni kuhamia kwenye chama kingine
 
Nape hana wasiwasi hata kama WanaMtama wote mtahamia chadema halafu yeye tu na mkewe ndiyo wakabakia ccm.

Watatumia bao la mkono linaloungwa mkono na tume mbovu ya uchaguzi iliyozaliwa na katiba mbovu ya mwaka 1977.

Chini ya katiba na tume hii, mpinzani kishiriki kushiriki uchaguzi 2024 na 2025 ni kupoteza muda tu
 
Watarogana
 
Akipigwa chini atapewa u RC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…