Pre GE2025 Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni Steven Wasira, acha upotoshaji.
 
Msikilize mzee pinda anakupa neno lako πŸ˜‚
 
Hapa nami namuunga mkono mama Samia. Steven Wasira hana makundi.
 
Chama Chakavu Hakina Kasi Hakiwezi Kuleta Matarajio Ya Tanzania
 
Wajumbe pigeni kura za hapana. Mzee wa watu apumzike tafuteni damu changa nyenye mawazo chanya, vinginevyo chama kinazidi kudhoofu mtasaisiwa hadi lini wakati wa chaguzi ndugu zangu. Kwamba unawatakia heri sisiem?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…