ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Pua gani?Samia hapa kadondokea pua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pua gani?Samia hapa kadondokea pua.
Duh,Wasira aliyezaliwa Julai Mosi, 1945 wilayani Bunda Mkoa wa Mara, kwa zaidi ya nusu karne amejijengea heshima kutokana na mchango wake mkubwa katika siasa, uchumi na maendeleo ya jamii.
Trump,Biden Wana miaka mingapi?CCM kwa nini mnaogopa vijana kuwapa madaraka ya kukiongoza chama. Huyu mzee wa miaka 80 na ushee kweli. Yaani hata kama si kazi ya matofali lakini....
Hali ya kumpitisha ni mbaya sana. Imelazimika Pinda aombwe kumsemeaNi wasira.
Chuma kutoka Bunda.
Mwanamikakati wa CCM
Huyu Huyu Tangu Makongoro Anazaliwa Yupo Serikalini Mpaka Leo YupoNdo huyu makongoro alimwongelea sana au!!
lile zee ni babe kwa lissu, lissu akiwa mwenyekiti wa chadema tayari kawekewa mbabe wake. Wale wakiitwa studioni kufanya kipindi watenganishwe, zee lina hasira sana lile, linaweza kumrushia ngumi lissuDuuuu kuna shida mahali aseee Wasira? Wanataka afie kwenye kwenye chama? Daaaa
Amependekezwa Mzee Wasira anyway vp mabinti zako hawajambo akina sweetladyMbona kuna uzi mwingine hapa JF unamtaja Pinda kama ndiye pendekezo...
Thread 'Kwanini ukimya umetawala baada ya Mhe. Pinda kupendekezwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM?' Kwanini ukimya umetawala baada ya Mhe. Pinda kupendekezwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM?
Mwamba mwenyewe 👇👇lile zee ni babe kwa lissu, lissu akiwa mwenyekiti wa chadema tayari kawekewa mbabe wake. Wale wakiitwa studioni kufanya kipindi watenganishwe, zee lina hasira sana lile, linaweza kumrushia ngumi lissu
siokweli. wassira yupo vizuri sana. ndio waliku wazee muhimu sana kwenye serikali ya kikwete.kama unakumbuka kipindi cha jk alikua na uwezo wa kudili hadi na wageni wanaokuja kutoka nje jk alimuamini sana alikua akiwapokea kuishauli utawala kitugani cha kufanya dhidi mgeni huyo. hapa nazungumzia wageni muhimu kwenye nchi na sio hawa wa kawaida.Samia hapa kadondokea pua.
Hapa ndipo Chadema mmefeli, makamu mwenyekiti wa ccm ndio anaongoza kamati ya usalama na maadili.Wajumbe pigeni kura za hapana. Mzee wa watu apumzike tafuteni damu changa nyenye mawazo chanya, vinginevyo chama kinazidi kudhoofu mtasaisiwa hadi lini wakati wa chaguzi ndugu zangu.
Chama Cha Mapinduzi kimempendekeza Ndugu Stephen Masatu Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasilisha jina la mwanasiasa mkongwe nchini
Stephen Wassira kwa wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa CCM wa Taifa unaofanyika Jijini Dodoma, kwa ajili ya kupigiwa kura kuwa Makamu Mwenyemiti wa CCM Bara.
Wasira aliyezaliwa Julai Mosi, 1945 wilayani Bunda Mkoa wa Mara, kwa zaidi ya nusu karne amejijengea heshima kutokana na mchango wake mkubwa katika siasa, uchumi na maendeleo ya jamii.
Wasira ni miongoni mwa wana CCM waliowahi kutangaza nia ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Ni mmoja wa viongozi wakongwe wenye ushawishi mkubwa ndani ya CCM, ambapo tangu mwaka 2007 amekuwa mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM tangu mwaka 2011.
Rekodi yake ya uongozi na uchapakazi wake, imemuweka kuwa katika nafasi nzuri ya kuonekana kama nguzo muhimu ndani ya CCM.
View attachment 3205242
Mwanae anataka kugombea ubunge bunda mjin mwaka huu chatata patawakaBunda Walimkataa Na Kumzomea Tyson