Pre GE2025 Stephen Wasira atua kibabe na Ndege ya kibabe Mkoani Songwe. Kuwasha moto kwa siku tatu mfululizo bila kupumzika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndugu zangu Watanzania,

Chuma cha Reli, Mwamba Mwenyewe ,Nguli wa Siasa na Jabali la siasa Stephen Wasira Makamu Mwenyeki wa CCM Taifa Ametua kibabe kwelikweli katika uwanja wa ndege wa Songwe na kwa ajili ya kuanza ziara katika mkoa wa Songwe.Ambako anatarajiwa kuwasha Moto 🔥 mkali kwelikweli kwa siku tatu mfululizo bila kupumzika.

Kabla ya kuweka miguu yake chini alipokelewa na kulakiwa na viongozi mbalimbali ngazi ya mkoa wakiwemo Mkuu wa Mkoa wa songwe Mheshimiwa sana Daniel Chongolo , Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Songwe Ndugu Radwell Mwampashe na viongozi wengine wengi sana wakiwepo wabunge mbalimbali wa Mkoa wa Songwe.

Akiwa mwenye tabasamu ,furaha na bashasha,nguvu ,stamina Mheshimiwa Wasira akisalimiana na viongozi hao kikakamavu kabisa kama komandoo aliyetoka Kumaliza mafunzo yake na kufaulu vyema kabisa.

Tayari wananchi wa mkoa wa songwe wanashauku kubwa sana ya kumsikiliza na kumpokea Makamu wetu wa CCM Taifa. Hii ni kutokana na kutambua uchapakazi wake,uhodari wake na uzalendo wake uliotukuka katika utumishi wa umma na namna alivyojitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya chama na Taifa letu.View attachment 3269466View attachment 3269467View attachment 3269468View attachment 3269469View attachment 3269471

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Yaani anatumia ndege ya biashara kwenda kusalimiana na magarasa wenzake.
 
Wameambiwa Wasipeane Mikono Kuna M~Pox
Ila Wagumu
Bado Wanagawa Mikono
😄 🤣 😂
Mwaka wa 5 huu sijatoa mkono
Yaani sipendi kutoa mkono halafu Covid ikaja ndio ikawa sababu
Nimeendeleza mpaka leo
Jitu linapenga linakupa mkono
 
Ndugu zangu Watanzania,

Chuma cha Reli, Mwamba Mwenyewe ,Nguli wa Siasa na Jabali la siasa Stephen Wasira Makamu Mwenyeki wa CCM Taifa Ametua kibabe kwelikweli katika uwanja wa ndege wa Songwe na kwa ajili ya kuanza ziara katika mkoa wa Songwe.Ambako anatarajiwa kuwasha Moto 🔥 mkali kwelikweli kwa siku tatu mfululizo bila kupumzika.

Kabla ya kuweka miguu yake chini alipokelewa na kulakiwa na viongozi mbalimbali ngazi ya mkoa wakiwemo Mkuu wa Mkoa wa songwe Mheshimiwa sana Daniel Chongolo , Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Songwe Ndugu Radwell Mwampashe na viongozi wengine wengi sana wakiwepo wabunge mbalimbali wa Mkoa wa Songwe.

Akiwa mwenye tabasamu ,furaha na bashasha,nguvu ,stamina Mheshimiwa Wasira akisalimiana na viongozi hao kikakamavu kabisa kama komandoo aliyetoka Kumaliza mafunzo yake na kufaulu vyema kabisa.

Tayari wananchi wa mkoa wa songwe wanashauku kubwa sana ya kumsikiliza na kumpokea Makamu wetu wa CCM Taifa. Hii ni kutokana na kutambua uchapakazi wake,uhodari wake na uzalendo wake uliotukuka katika utumishi wa umma na namna alivyojitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya chama na Taifa letu.View attachment 3269466View attachment 3269467View attachment 3269468View attachment 3269469View attachment 3269471

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Angalie asije akarudi kama.mzigo..hamna kitu mle
 
Wakati Wasira anahama CCM kwenda NCCR na kumshinda Warioba Ubunge wa Bunda, Mama yao alikuwa bado hajadinywa na Baba yako akapata mimba ukazaliwa ?
 
Hiyo wheelchair imewekwa tayari kumsaidia miguu ikiishiwa nguvu ? 😳
 
Back
Top Bottom