Pre GE2025 Stephen Wasira atua kibabe na Ndege ya kibabe Mkoani Songwe. Kuwasha moto kwa siku tatu mfululizo bila kupumzika

Pre GE2025 Stephen Wasira atua kibabe na Ndege ya kibabe Mkoani Songwe. Kuwasha moto kwa siku tatu mfululizo bila kupumzika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndugu zangu Watanzania,

Chuma cha Reli, Mwamba Mwenyewe ,Nguli wa Siasa na Jabali la siasa Stephen Wasira Makamu Mwenyeki wa CCM Taifa Ametua kibabe kwelikweli katika uwanja wa ndege wa Songwe na kwa ajili ya kuanza ziara katika mkoa wa Songwe.Ambako anatarajiwa kuwasha Moto 🔥 mkali kwelikweli kwa siku tatu mfululizo bila kupumzika.

Kabla ya kuweka miguu yake chini alipokelewa na kulakiwa na viongozi mbalimbali ngazi ya mkoa wakiwemo Mkuu wa Mkoa wa songwe Mheshimiwa sana Daniel Chongolo , Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Songwe Ndugu Radwell Mwampashe na viongozi wengine wengi sana wakiwepo wabunge mbalimbali wa Mkoa wa Songwe.

Akiwa mwenye tabasamu ,furaha na bashasha,nguvu ,stamina Mheshimiwa Wasira akisalimiana na viongozi hao kikakamavu kabisa kama komandoo aliyetoka Kumaliza mafunzo yake na kufaulu vyema kabisa.

Tayari wananchi wa mkoa wa songwe wanashauku kubwa sana ya kumsikiliza na kumpokea Makamu wetu wa CCM Taifa. Hii ni kutokana na kutambua uchapakazi wake,uhodari wake na uzalendo wake uliotukuka katika utumishi wa umma na namna alivyojitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya chama na Taifa letu.View attachment 3269466View attachment 3269467View attachment 3269468View attachment 3269469View attachment 3269471

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mwaaashambwa hapo ni yupi?
 
Mimi sifi mpaka ufe wewe ili nikawe chawa wako kuzimu😂😂😂.

Haitokuwa haki duniani uwe chawa na kuzimu pia ukawe chawa.

TUkifika kuzimu nitakuwa nashusha nyuzi za kutoa watu machozi kwenye JF ya kuzimu.
Yani nitakuwa super chawa, hata ukitoa ushuzi nakusifia.
Utakufa tu ili ukachomwe moto haraka .
 
The Beautyful Ones Are Not Yet Born
Ndugu zangu Watanzania,

Chuma cha Reli, Mwamba Mwenyewe ,Nguli wa Siasa na Jabali la siasa Stephen Wasira Makamu Mwenyeki wa CCM Taifa Ametua kibabe kwelikweli katika uwanja wa ndege wa Songwe . kwa ajili ya kuanza ziara katika mkoa wa Songwe. Ambako anatarajiwa kuwasha Moto 🔥 mkali kwelikweli kwa siku tatu mfululizo bila kupumzika.

Kabla ya kuweka miguu yake chini alipokelewa na kulakiwa na viongozi mbalimbali ngazi ya mkoa wakiwemo Mkuu wa Mkoa wa songwe Mheshimiwa sana Daniel Chongolo , Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Songwe Ndugu Radwell Mwampashe na viongozi wengine wengi sana wakiwepo wabunge mbalimbali wa Mkoa wa Songwe.

Akiwa mwenye tabasamu ,furaha na bashasha,nguvu na stamina Mheshimiwa Wasira alisalimiana na viongozi hao kikakamavu kabisa kama komandoo aliyetoka Kumaliza mafunzo yake na kufaulu vyema kabisa.

Tayari wananchi wa mkoa wa songwe wanashauku kubwa sana ya kumsikiliza na kumpokea Makamu wetu wa CCM Taifa. Hii ni kutokana na kutambua uchapakazi wake,uhodari wake na uzalendo wake uliotukuka katika utumishi wa umma na namna alivyojitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya chama na Taifa letu.View attachment 3269466View attachment 3269467View attachment 3269468View attachment 3269469View attachment 3269471

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
The Beautyful Ones Are Not Yet Born
 
Kwenye picha ya kwanza kuna wheelchair ya nini?
Mama muhula wake wa kwanza unaanza 2025 .
Muhula wake unaanzia pale anapopewa ridhaa ya kwa kura kwa kipindi cha miaka mitano mitano .

Kwa hiyo mama anaweza kugombea tena mwaka 2030 kwa Mujibu wa katiba.
Japo hatoshi kuwadhibiti mafisadi ,wahuni na matapeli mpaka wake wanaotaka kununua umeme kutoka Ethiopia waka umeme kutoka Rufiji inatafuta soko nje ya nchi .Yaani mafisadi wamemzidi kwa mbali sana .
Sijui angeweza kuongoza nchi kwa mwezi mzima bila Mawaziri kama alivyokua amefanya chuma JPM na nchi inaonyesha uelekeo ndani ya miezi miwili tangu kuapishwa.
 
Back
Top Bottom