Stephen Wasira awahurumia CHADEMA na kuwaasa wananchi cha kufanya ili wapate maendeleo

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini.

Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na kuonyesha huruma dhidi ya wanachadema wote. Awaasa na kuwashauri wananchi kuacha tabia ya kumpa shetani kazi ya kuhubiri injili :pulpTRAVOLTA:

View: https://youtube.com/shorts/bBkDmDTJBV4?si=o736rWTe2FbaL6Lg

Mungu Ibariki Tanzania
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini.

Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu wasira akielezea masikitiko yake na kuonyesha huruma dhidi ya wanachadema wote. Awaasa na kuwashauri wananchi kuacha tabia ya kumpa shetani kazi ya kuhubiri injili :pulpTRAVOLTA:

View: https://youtube.com/shorts/bBkDmDTJBV4?si=o736rWTe2FbaL6Lg

Mungu Ibariki Tanzania

Huyu naye apumzije maana hata anachoongea ukimuuliza baada ya masaa machache ashasahau
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini.

Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na kuonyesha huruma dhidi ya wanachadema wote. Awaasa na kuwashauri wananchi kuacha tabia ya kumpa shetani kazi ya kuhubiri injili :pulpTRAVOLTA:

View: https://youtube.com/shorts/bBkDmDTJBV4?si=o736rWTe2FbaL6Lg

Mungu Ibariki Tanzania

Ni hivyo kweri kweri. Mimi nimesoma course Moja na Heche. Sio Mimi tu group lote la SAUT EDUCHE 2006/2009 tunajua kuwa Heche ni Kiongozi wa hivyo kwasababu alikuwa wa hovyo tangu tupo SAUT 2006/2009!
 
Kati ya Makamu mwenyekiti wa ccm na CDM nani anahitaji kuonewa huruma?
images (53).jpeg
wasira2-759520.jpg
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini.

Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na kuonyesha huruma dhidi ya wanachadema wote. Awaasa na kuwashauri wananchi kuacha tabia ya kumpa shetani kazi ya kuhubiri injili :pulpTRAVOLTA:

View: https://youtube.com/shorts/bBkDmDTJBV4?si=o736rWTe2FbaL6Lg

Mungu Ibariki Tanzania

Babu naye akacheze na wajukuu, Aibu yake!
 
Ni hivyo kweri kweri. Mimi nimesoma course Moja na Heche. Sio Mimi tu group lote la SAUT EDUCHE 2006/2009 tunajua kuwa Heche ni Kiongozi wa hivyo kwasababu alikuwa wa hovyo tangu tupo SAUT 2006/2009!
Basi hata wewe ni wa Hovyo, Maana Kama mlikuwa group Moja nae, ndege warukao pamoja .......
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini.

Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na kuonyesha huruma dhidi ya wanachadema wote. Awaasa na kuwashauri wananchi kuacha tabia ya kumpa shetani kazi ya kuhubiri injili :pulpTRAVOLTA:

View: https://youtube.com/shorts/bBkDmDTJBV4?si=o736rWTe2FbaL6Lg

Mungu Ibariki Tanzania

Kwamba kawasikitikia chadema kisha akawaasa wananchi.....
 
Sidhani kama unaelewa ulichokiandika na hata kama yeye mwenyewe Wasira anaelewa aliyoyasema..kuna mkanganyiko mkubwa sana
 
Ni hivyo kweri kweri. Mimi nimesoma course Moja na Heche. Sio Mimi tu group lote la SAUT EDUCHE 2006/2009 tunajua kuwa Heche ni Kiongozi wa hivyo kwasababu alikuwa wa hovyo tangu tupo SAUT 2006/2009!
uko sahihi 100%👊
 
Ukiona unapendwa na CCM na wewe ni CHADEMA au chama chochote cha upinzani ujue wewe ni sehemu ya tatizo kwenye hii nchi
labda ungeiandikia uzi mahususi jukwaani gentleman na itapendeza zaidi 🐒
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini.

Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na kuonyesha huruma dhidi ya wanachadema wote. Awaasa na kuwashauri wananchi kuacha tabia ya kumpa shetani kazi ya kuhubiri injili :pulpTRAVOLTA:

View: https://youtube.com/shorts/bBkDmDTJBV4?si=o736rWTe2FbaL6Lg

Mungu Ibariki Tanzania

Kwani CHADEMA wanaongoza serekali gani au wanatoza kodi wapi ili wawalete maendeleo wananchi.
 
mmeona wenyewe sasa hawa jamaa vile hawana sera hahaha
Heche anashika hadi babu zake makende huyu Heche hana hurumaa
 
Back
Top Bottom