Stephen Wasira awahurumia CHADEMA na kuwaasa wananchi cha kufanya ili wapate maendeleo

Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini.

Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na kuonyesha huruma dhidi ya wanachadema wote. Awaasa na kuwashauri wananchi kuacha tabia ya kumpa shetani kazi ya kuhubiri injili :pulpTRAVOLTA:

View: https://youtube.com/shorts/bBkDmDTJBV4?si=o736rWTe2FbaL6Lg

Mungu Ibariki Tanzania

Lipenda rushwa linaendelea kupost. Kazana kazana uendelee kula rushwa maana huo uchafu ndio unaoujua
 
Obviously hoja zake zinaonekana kama bado anatumia mentality ya mfumo wa chama kimoja.
 
ila heche ana mkosi sana,
anahambuliwa ndani na nje ya chadema mpaka anabaki hana la kufanya 🤣
 
Lipenda rushwa linaendelea kupost. Kazana kazana uendelee kula rushwa maana huo uchafu ndio unaoujua
relax muerevu tajiri wa mihemko na makasiriko useless jukwaani 🐒
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini.

Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na kuonyesha huruma dhidi ya wanachadema wote. Awaasa na kuwashauri wananchi kuacha tabia ya kumpa shetani kazi ya kuhubiri injili :pulpTRAVOLTA:

View: https://youtube.com/shorts/bBkDmDTJBV4?si=o736rWTe2FbaL6Lg

Mungu Ibariki Tanzania

Nani anamuonea huruma nani? Kuna siku inakuja kila mtu atatoa hesabu zake mbele ya Mwenyezi Mungu, amewafanyia nini watanzania.
Sio kula kwa mgongo wa kusema nawatumikia watanzania. wakati hakuna la maana linaloonekana
 
Huyu mzee anazunguzia chadema ipi? Si walisema ilishakufa? Asamehewe
msikilize vizuri tu gentleman,
utagundua ni wananchi gani waliomchagua shetani kuhubiri injili huku wakitegemea kuokoka 🐒
 
Sidhani kama unaelewa ulichokiandika na hata kama yeye mwenyewe Wasira anaelewa aliyoyasema..kuna mkanganyiko mkubwa sana
ndugu muerevu,
Kwa faida ya wadau wote wa JF, eleza ulichoelewa wewe nadhani itapendeza zaidi 🐒
 
Kwamba kawasikitikia chadema kisha akawaasa wananchi.....
Yes,
kawasitikia chadema kupata viongozi wa hovyo, na akawaasa wananchi kuepuka kuchagua shetani ahubiri injili huku wakitegemea kuokoka 🐒
 
Sisi tunampenda hivyo as long anamwondoa ibilisi mkuu wa Tanzania
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini.

Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na kuonyesha huruma dhidi ya wanachadema wote. Awaasa na kuwashauri wananchi kuacha tabia ya kumpa shetani kazi ya kuhubiri injili :pulpTRAVOLTA:

View: https://youtube.com/shorts/bBkDmDTJBV4?si=o736rWTe2FbaL6Lg

Mungu Ibariki Tanzania

Huyu Mzee pamoja na M/Miti wazazi ndio wanaomshauri vibaya M/kiti wa CCM kupuuza katiba na kuendelea kumshikilia Lissu. Hali ikitengamaa huyu mzee anaweza kuishi vibaya sana na familia yake maana tayari wananchi wameshawajua wanaochochea uovu na mifarakano ktk upande wa pili.
 
nadhani amewashauri vizuri sana hao wananchi,
na amewasikitikia chadema kua na viongozi wa hovyo kitu ambacho ni kweli kabisa na sote tunashuhudia gentleman, unless uwe mnafiki tu:1Head:
 
Back
Top Bottom